House4Rent House for rent in Dodoma

House4Rent House for rent in Dodoma

Unaendana vipi na Avartar yako yaani hiyo picha uloweka. Ni kama 75%, 50% ama? Nataka kuzuia vyumba vyote baada ya majibu
ahahahahaha iyo picha ni ya mdada mmoja mtangazaji wa radio nchini Uganda..hehehe
 
Mjini sehemu gani?
Weka hata na picha mkuu.
 
Kuna vyumba vinapangishwa Dodoma mjini, self contained, woodern syling board, no tiles but nice floor, water available in doors 24hrs, electricity (10,000/= kwa mwezi), bei 80,000/= kwa mwezi, kodi ya miezi sita nakuendelea. ukihitaji tuwasiliane.
weka picha
 
Usiweke picha yako halisi humu si salama.
Ila kwa bei hiyo mbona naona iko juu sana kwa Dodoma.
 
Nyie madalali wa dodoma Mungu anawaona. yaani zile gest zenu bubu baada ya kukosa watu mmeamua kupangisha, vyumba vidogoooo, pesa ya udalali mnakula ya mwezi na mnapandisha bei zaidi ya anayotaka mwenye nyumba.... mlaaniwe!
 
Back
Top Bottom