House girl au house boy ni mtumwa mamboleo, ni ukatili kuwa na mtumwa ndani

House girl au house boy ni mtumwa mamboleo, ni ukatili kuwa na mtumwa ndani

Waarabu waliwakusanya kwa kuwakamata waafrika na kuwauza Amerika na Ulaya., Biashara ile imeisha, tunaona sasa wamebadili mtindo wa utumwa, mnachukua watoto wa maskini vijijini na kuwafanyia kazi za ndani kwa ujira mdogo.

Ni ukatili tu, wengi wa hao watumwa wenu ambao mnawaita wadada wa kazi wanapitia magumu sana, wengi wao walikatiza ndoto zao za elimu kwa ajili ya umaskini, hawana namna, mnawafanyisha kazi kama punda, na wengine ni under 18.

Msiniambie habari za favour kuwa Kuna wanaosomeshwa hata kuishi nao vizuri kama ndugu, ni kweli ila ni wachache sana, na hata wakati wa utawala wa utumwa kuna watumwa walipewa favour kama hizo tu.

Najua utumwa huu hausemwi kwa kuwakamata ni sisi kwa sisi na tunaona sawa,.

Najua leo mapovu yatakuja hadi niloe, ruksa!!!!
Cc: single mothers ndio maengeneer wa kuchukua watoto wa watu vijijini kuwaleta mjini......
 
Hii mada umeiandika kwa chuki dhidi ya hao Waarabu ndio maana ukasema waliwauza watumwa Ulaya na America,vipi kuhusu wazungu wao hawakuwa uza hao watumwa?
hao watumwa walikua wanakusanywa na nani ili wanunuliwe na wageni? unaonekana hujui lolote kuhusu hisroria,

Ukiendelea na hizi akili za kijinga na mawazo ya chuki utawapa tabu sana watu kukulea uzeeni kwako,kumbuka muda haumsubiri mtu, pambana utoke na wewe,hizi chuki hazitokusaidia lolote,

Kuna kesi ngapi Bongo za waajiri kutesa wadada wa kazi?
Vipi kuhusu kuwakata viungo Albino wakiwa hai sio ukatili?
Vipi kuhusu Kibaka kuchomwa moto akiwa hai sio ukatili?
Vipi kuhusu Vikongwe kukatwa mapanga na kuuawa kwa imani za kishirikina sio ukatili?
Vipi kuhusu watoto wadogo kubakwa na kulawitiwa sio ukatili?
 
Wametaka! Wana uhuru!! Wa kuamua. Kujitetea!
Kwa mtizamo huu hata kuajiliwa serikslini kwa ujira mdogo ni utumwa.
Kutimliwa kazi ati ni mfanyakazi hewa! Ni utumwa mbaya kuliko house girl.

Hivi umewahi fanya kazi ofisi ya muhindi?

Pension fund ni kwa watanzania wote wazee! Je mnaipata?
Hata mleta mada ni mtumwa mfu wa Jf.
 
Kama mtu analipwa,kamwe hawez kuwa mtumwa.

Nacho waomba waajiri,wawe wanapatia japo nusu siku kwa wiki ambapo hatafanya kazi kuanzia asubuh mpaka jioni,ili apate muda wa kudhurula na kugegedwa.

Pia tuwe tunawatafutia watu wa kuwagegeda pale wanapokoswa,nimegundua siku hizi beki 3 wengi hawadumu makazini kutokana na kukosa kugegedwa
 
Asilimia kuubwa ya watu ni watumwa. Ajira ni utumwa, lazima ufuate amri ya aliyekuajiri la sivyo unatimuliwa(unaadhibiwa)
 
Waarabu waliwakusanya kwa kuwakamata waafrika na kuwauza Amerika na Ulaya., Biashara ile imeisha, tunaona sasa wamebadili mtindo wa utumwa, mnachukua watoto wa maskini vijijini na kuwafanyia kazi za ndani kwa ujira mdogo.

Ni ukatili tu, wengi wa hao watumwa wenu ambao mnawaita wadada wa kazi wanapitia magumu sana, wengi wao walikatiza ndoto zao za elimu kwa ajili ya umaskini, hawana namna, mnawafanyisha kazi kama punda, na wengine ni under 18.

Msiniambie habari za favour kuwa Kuna wanaosomeshwa hata kuishi nao vizuri kama ndugu, ni kweli ila ni wachache sana, na hata wakati wa utawala wa utumwa kuna watumwa walipewa favour kama hizo tu.

Najua utumwa huu hausemwi kwa kuwakamata ni sisi kwa sisi na tunaona sawa,.

Najua leo mapovu yatakuja hadi niloe, ruksa!!!!
ukiwaza hivo hata wewe ni mtumwa Wa kisasa tu usiye jielewa hapo kazini kwako...kwanza....

jiwe anakukata kazi eti weye ni mfanyakazi fake maksudi tu uonevu. bila stahiki zako wkt umesoma chuo cha sirikali..na umelitumikia taifa.

Mfanya biashara unakatwa makato meengi ya hovyo na maksudi ili kuku komoa kodi!!

Shuleni unafelishwa maksudi tu ili watu flani wapate hela yako ya supplimentary.

Barabarani unaonewa tu na taraffic.
Kabendera amebambikwa kesi bila sababu huu ni utumwa pia.

Dhahabu zinachkuliwa mgodini huko waafrica wanalipwa kiduchuuu!!

Nenda agakhan Hosp. Nesi wa kihindi analipwa mara kumi zaidi ya mweusi.somo lao moja!!

Mishahara ya wabunge ni mikubwa balaa na hawalip kodi ni bora anza na hao kwanza. Kuliko kurukia watumwa wenzako eti wanalea watumwa.

Kuwa na house girl kummiliki Wale wote ni watumwa wanaoleana. Muwaache wapate kitu... Hamtaki ivo basi wachimba dhahabu pia waondoke!!

House girl wa kwanza ni wale wa migodini bandarini. Ikulu..askari polisi madaktari wenu nk.
ila wanatofautiana majina na mahali pa kufanyia kazi zao tu.

Hata Rais mawaziri ni ma house boy wa daraja la juu. wa wazungu.....
Mushahara wanayo pewa wameibadirisha jina inaitwa Misaada...hawa wakiacha na hili litaisha km hujui
 
Asilimia kuubwa ya watu ni watumwa. Ajira ni utumwa, lazima ufuate amri ya aliyekuajiri la sivyo unatimuliwa(unaadhibiwa)
au unafungiwa mshahara tu maksudi wkt uko kazini na hela ya kufuatilia kisheria huna.
 
Back
Top Bottom