kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 10,406
- 19,892
Kwema wakubwa?
Wife alisafiri kama week hivi imepita..home akaniacha mimi na dada wa kazi. Sasa me toka juzi nilikuwa silali home, nilikuwa nalala kwa mchepuko wangu flani hivi hapa mtaani. Nilikuwa narudi home asubuhi, so kumbe nahisi wife ni kama alikuwa kaweka mtego.
Leo karudi asubuhi ghafla, hakunikuta home, kumuuliza house girl nilipo, akajibiwa kuwa nimeenda church kumbe toka jana usiku niko zangu kwa mchepuko, asee nimerudi nikamkuta wife yuko bafuni, tukasalimiana akaniuliza habari za church nami nikazuga nilikuwa church kweli.
Hapa nafikiria kumtafutia huyu house girl kazawadi kazuri kwa kuniepusha na ule msala.