Hahahahaaa.Bora waif wako anamwacha haus gel uyu wangu hata akienda kwao sku mbil anam beba na hous grl ua na mind sana sema nakaza kiume tu
Kinga ni Bora kuliko tiba [emoji23][emoji23][emoji23]Bora waif wako anamwacha haus gel uyu wangu hata akienda kwao sku mbil anam beba na hous grl ua na mind sana sema nakaza kiume tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]Mpe mbunye mkuu.
HahahaSasa kama mkeo unamwogopa hivyo utamtia mimba kweli bw kaka
Mke wako ana akili hataki familia ije kusambaratika kisa uzinzi wako. Mshukuru mkeo ana akili kukuzidiBora waif wako anamwacha haus gel uyu wangu hata akienda kwao sku mbil anam beba na hous grl ua na mind sana sema nakaza kiume tu
Mpandishe daraja...hakuna zawadi nyingine itamfaa kuzidi hiyoKwema wakubwa?
Wife alisafir kama week hivi imepita..home akaniacha mimi na dada wa kazi.
Sasa me toka juzi nilikuwa silali home,nilikuwa nalala kwa mchepuko wangu flani hivi hapa mtaani.nilikuwa narudi home asubuhi, so kumbe nahisi wife ni kama alikuwa kaweka mtego, Leo karudi asubuhi ghafla, hakunikuta home.kumuuliza house girl nilipo,akajibiwa kuwa nimeenda church kumbe toka jana usiku niko zangu kwa mchepuko.asee nimerudi nikamkuta wife yuko bafuni ,tukasalimiana akaniuliza habari za church nami nikazuga nilikuwa church kweli.hapa nafikiria kumtafutia Huyu house girl kazawadi kazuri kwa kuniepusha na ule msala.