Kwa nini?Mfanyie mwanao vipimo then umuondoshe huyo dada wakazi arudi kwao wala usione huruma
hili nalo huwezi ukaamua mpaka usaidiwe uamuzi na watu?Amani iwe kwenu nyote. Nimegundua kuwa house girl wangu anae nilelea mtoto wangu mchanga anakunywa vidonge vya HIV kwa siri. Je hawezi kuwa amemwambukiza mwanangu? Kama jibu ni hapana, mwanangu atakuwa salama kweli au niachane naye msichana huyu? Naomba ushauri wenu.
Una umri gani wewe?Amani iwe kwenu nyote. Nimegundua kuwa house girl wangu anae nilelea mtoto wangu mchanga anakunywa vidonge vya HIV kwa siri. Je hawezi kuwa amemwambukiza mwanangu? Kama jibu ni hapana, mwanangu atakuwa salama kweli au niachane naye msichana huyu? Naomba ushauri wenu.
Wadada wengi wa kazi hawajielewi ni rahisi sana kumuambukiza mtoto ukimwi, niliwahi kumfuma dada wa kazi alikuwa anashare nail cutter yake na mwanangu.Kwa nini?
Umemjibu vizuri Sana ndugu. HIV sio kifo...tusiwahukumu kwa hali zao,wapo wengine wanazaliwa na virusi hivyo tujitahidi kuwa positive na hali hii. Inaweza kumpata yeyote na muda wote.Siku ndugu yako wa karibu kabisa. Yaani kabisa akiwa anatumia hizo dawa ndio utatumia ubongo wako kujua kama ni Sawa kukaa nae au umfukuze.
Ila kwa sasa fanya tu vile moyo wako unavyotaka
Hilo sio swali la kuuliza wewe kama mwanaume mlinzi wa familia.Amani iwe kwenu nyote. Nimegundua kuwa house girl wangu anae nilelea mtoto wangu mchanga anakunywa vidonge vya HIV kwa siri. Je hawezi kuwa amemwambukiza mwanangu? Kama jibu ni hapana, mwanangu atakuwa salama kweli au niachane naye msichana huyu? Naomba ushauri wenu.
Kaa nae mbali chief maana sio salama kwa mwanao siku atakua anatumia na miswaki mnayotumia bila ya nyinyi kujua mtajikuta mnashareAmani iwe kwenu nyote. Nimegundua kuwa house girl wangu anae nilelea mtoto wangu mchanga anakunywa vidonge vya HIV kwa siri. Je hawezi kuwa amemwambukiza mwanangu? Kama jibu ni hapana, mwanangu atakuwa salama kweli au niachane naye msichana huyu? Naomba ushauri wenu.
Makamisa ya kilokole Yana nini kwani mashekhe hawawezi ombaSikuhizi Nikileta housegel mpya bila kupoteza muda
1 .Lazima nimpeleke akapime
2. Lazima nimpeleke kanisani kwanza haya makanisa ya kilokole!
#Afya kwanza