House girl wangu anatumia vidonge vya HIV

House girl wangu anatumia vidonge vya HIV

Naupokea ushauri wako naufanyia kazi
Fanya immediately, wasichana ukichanganya na hilo gonjwa ukichelewa kufanya maamuzi, usirud humu kuomba ushauri wa jinsi housegirl wangu alivyomuambukiza ukimwi mwanangu, naombeni ushauri.
 
Mtu anayetumia vidonge vyake vizuri hawezi kumuambukiza virusi mtu mwingine.

Virusi vinakuwa vimelala havina uwezo wa kuambukiza ndomaana kuna watu negative wanaishi na wenza wenye maambukizi bila tatizo na wanazaa watoto salama. kikubwa mpe ushirikiano apate dawa zake kwa wakati.
 
Kuwa na amani kabisa kama.housegirl wako hamgombani wala hatamwambukiza mtoto. Binafsi nliletewa housegirl nami nikagundua ni mwathilika amemlea mtoto wangu kwa muda wa mwaka mmoja hadi alipochoka mwenyewe akaondoka.nligunsua baada ya dose yake kuisha
 
Sasa hapo atamwambukizaje?
Muishi naye kama mwana wenu atakuwa huru. Ukiishi naye kikatili ndipo atamchotea damu mtoto wako
 
Amani iwe kwenu nyote. Nimegundua kuwa house girl wangu anae nilelea mtoto wangu mchanga anakunywa vidonge vya HIV kwa siri. Je hawezi kuwa amemwambukiza mwanangu? Kama jibu ni hapana, mwanangu atakuwa salama kweli au niachane naye msichana huyu? Naomba ushauri wenu.
I learnt from jirani yangu kule Moshono- Arusha;
1. Akipata dada day 1 anapelekwa hospital kwa ajili ya vipimo vyote majibu ndio yata determine aendelea au arudi kwa wakala aliyemleta!
2. Anakuwa na contact za mtu wake wa karbu family member sio hawa mawakala sijui!.
 
Back
Top Bottom