Skywalker00
JF-Expert Member
- Jul 4, 2022
- 329
- 1,017
Aemond mnyama sana, anakosha.Episode 8
Rate: 9/10
The King jamani sio kwa kukonda kule nimejisikia vibaya sanaaaa,
Yule Dogo mwenye jicho moja mzinguaji sana,
Next episode itakua [emoji91][emoji91]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]The internet is merciless[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2383086View attachment 2383087
Tangu nijue ndie atakayemuua Rhaenyra, simpendi hata kidogo.
Kwa hiyo ile sumu ndio imemgeuza King kua Zombie jamani,The internet is merciless[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2383086View attachment 2383087
Hapana sio sumu,kwenye podcast yao wamesema ni leprosyKwa hiyo ile sumu ndio imemgeuza King kua Zombie jamani,
Na je, Queen anahusika kwenye kumPoison au ni baba ake?
According to the books, ngoja tuone show itakavyokua.Tangu nijue ndie atakayemuua Rhaenyra, simpendi hata kidogo.
Kwenye GOT, King Jofrey alitupa hiyo historia sijui kama wataibadilishaAccording to the books, ngoja tuone show itakavyokua.
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Ofcoz ila hii ni historia ya nyuma kabla ya game of throne.Wakuu huu uzi unaniacha kidogo tuu...
Game of the throne ndo season nlio itazama mpaka Mwisho.
Sasa sijajua hii house of the Dragon ndo ikoje na uhusiano wake na game of the throne maana naona kama maudhui na muonekano wakama ni mfanano.
Nawasilisha wakubwa wangu.
Anaumwa leprosyKwa hiyo ile sumu ndio imemgeuza King kua Zombie jamani,
Na je, Queen anahusika kwenye kumPoison au ni baba ake?
Sory broo naweza kuipata hii seriesOfcoz ila hii ni historia ya nyuma kabla ya game of throne.
Mbona chache Sana [emoji134]George R. MartinView attachment 2384044
Aegon wapo wawili mkuu....Sema humu hamna wasoma novel.. kama yupo ajitokeze tujadili how the green and black walivyotekeyezana hadi aegon kuja kukalia kiti.
Kwenye vitabu ni noma sana.. yaani hao wote mnaowaona hakuna atakaebaki
Iko hivi Alicent na Visery I wamezaa watoto watatu ArgonII, Aemond/kijicho na Heleana ambae kwa sasa ni mke wa Aegon (kaka na dada)Aegon wapo wawili mkuu....
Yupi wa Rhaenyra ?
Au kijicho?
Nnacho kitabu.Iko hivi Alicent na Visery I wamezaa watoto watatu ArgonII, Aemond/kijicho na Heleana ambae kwa sasa ni mke wa Aegon (kaka na dada)
Rhaenyra na Daemon
Watakuja kuzaa watoto wawili ambae mmoja kashazaliwa mkubwa na sasa ana mimba. Mkubwa ni Aegon III , mdogo ni Viserys II.
Sasa Viserys atazaa mtoto amwite jina la kaka yake, mtoto huyo ataitwa Aegon IV. Katika vita ya The Green na The Black ni huyo mtoto ndio atakuja kurudisha Dynasty ya Tageryan kwenye mamlaka. Yaani niwashauri msichague favourite Character kwa sasa maana wote hao watakufa. Tena nibahisi Rhaenyra atakufa Episode 10. Maana Kaka yake Aegon II ndio atamuua kwa kumrisha kwenye Dragon yake.
Fanya kukishare kitabuNnacho kitabu.
Mambo ni Mengi nakisoma taratibu ( ndio kwanza nipo after death ya Aegon the conq.....).
Ila wanatwist baadhi matukio haiwi kama kwenye kitabu.
Yes. Atamuua kwanza lucer na dragon wake. Then atamuua rhaenyra na dragon wake lakin na yeye atauliwa na daemon yeye pamoja na dragon wakeTangu nijue ndie atakayemuua Rhaenyra, simpendi hata kidogo.