House of the Dragon Special thread

House of the Dragon Special thread

This is wild.
The entanglement[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
games_of_thrones_club-20221011-0001.jpg
 
Wakuu huu uzi unaniacha kidogo tuu...

Game of the throne ndo season nlio itazama mpaka Mwisho.

Sasa sijajua hii house of the Dragon ndo ikoje na uhusiano wake na game of the throne maana naona kama maudhui na muonekano wakama ni mfanano.
Nawasilisha wakubwa wangu.
 
Ofcoz ila hii ni historia ya nyuma kabla ya game of throne.
 
Sema humu hamna wasoma novel.. kama yupo ajitokeze tujadili how the green and black walivyotekeyezana hadi aegon kuja kukalia kiti.
Kwenye vitabu ni noma sana.. yaani hao wote mnaowaona hakuna atakaebaki
 
Aegon wapo wawili mkuu....
Yupi wa Rhaenyra ?
Au kijicho?
Iko hivi Alicent na Visery I wamezaa watoto watatu ArgonII, Aemond/kijicho na Heleana ambae kwa sasa ni mke wa Aegon (kaka na dada)

Rhaenyra na Daemon
Watakuja kuzaa watoto wawili ambae mmoja kashazaliwa mkubwa na sasa ana mimba. Mkubwa ni Aegon III , mdogo ni Viserys II.

Sasa Viserys atazaa mtoto amwite jina la kaka yake, mtoto huyo ataitwa Aegon IV. Katika vita ya The Green na The Black ni huyo mtoto ndio atakuja kurudisha Dynasty ya Tageryan kwenye mamlaka. Yaani niwashauri msichague favourite Character kwa sasa maana wote hao watakufa. Tena nibahisi Rhaenyra atakufa Episode 10. Maana Kaka yake Aegon II ndio atamuua kwa kumrisha kwenye Dragon yake.
 
Nnacho kitabu.
Mambo ni Mengi nakisoma taratibu ( ndio kwanza nipo after death ya Aegon the conq.....).
Ila wanatwist baadhi matukio haiwi kama kwenye kitabu.
 
Back
Top Bottom