Iko hivi Alicent na Visery I wamezaa watoto watatu ArgonII, Aemond/kijicho na Heleana ambae kwa sasa ni mke wa Aegon (kaka na dada)
Rhaenyra na Daemon
Watakuja kuzaa watoto wawili ambae mmoja kashazaliwa mkubwa na sasa ana mimba. Mkubwa ni Aegon III , mdogo ni Viserys II.
Sasa Viserys atazaa mtoto amwite jina la kaka yake, mtoto huyo ataitwa Aegon IV. Katika vita ya The Green na The Black ni huyo mtoto ndio atakuja kurudisha Dynasty ya Tageryan kwenye mamlaka. Yaani niwashauri msichague favourite Character kwa sasa maana wote hao watakufa. Tena nibahisi Rhaenyra atakufa Episode 10. Maana Kaka yake Aegon II ndio atamuua kwa kumrisha kwenye Dragon yake.