House of the Dragon Special thread

21 August 2022..ndio wanatoa mzigo.

#MaendeleoHayanaChama
 
Aiseee 1st episode imevuja,kuna mwana ameleak episode. Ngoja nikaipakue
 
Weka link chalii nipo nachungulia kwenye site kila muda hapa. Naona labda mpaa jioni ndio itapatikana.
Aiseee 1st episode imevuja,kuna mwana ameleak episode. Ngoja nikaipakue
 
Jus Finished watching Episode 1
My Rate ni 9/10.

Bloodier, crazier, violent,brutal, cinematography is top notch,very well written.
#Nospoiler

Hii series itaipiku GOT.
 
Sijaiangalia ila kwa yule anayeitafuta aipakue pirates bay kwa kutumia bittorrent
 
Bonge la seri3s, episode 1 imetupa kile tunachokihitaj kwa sisi fans wa GOT,

Daemon huyu mwamba yuko ruthless, yani kama amgekuwepo kwa GOT mapema sana angekuwa ashaenda kuattack kings landing.

''Aegon called his dream A Song Of Ice And Fire''

9.8/10
 
Daah..kuangalia vipande na kusubiri kingine huwa siwezi nasubiri mpaka mzigo wa season1 uishe wote ndio niukalie vizri kucheki.

#MaendeleoHayanaChama
 
Daah..kuangalia vipande na kusubiri kingine huwa siwezi nasubiri mpaka mzigo wa season1 uishe wote ndio niukalie vizri kucheki.

#MaendeleoHayanaChama
Hahahaha nakuelewa Sana Mkuu,Ila naona kama kusubiria mzigo mzima inapunguza uhondo kidogo utakutana na spoilers kila pahali
 
Acha tu Mzee,hii series kwa ninavyoiona itaipiku GOT

Mpaka sasa nimemkubali Daemon pamoja na dragon wake Caraxes.

Nasubiria Kwa hamu kuona dragons wengine kama Vaghar,the oldest and biggest dragons during the dance.
 
Hii kitu itakuwa ni balaa lingne kama ilivyokuwa kwa GOT. Japo sina muda ila ntalifuatilia.
 
Hii kitu itakuwa ni balaa lingne kama ilivyokuwa kwa GOT. Japo sina muda ila ntalifuatilia.
Mkuu hii kuna uwezekano ikaipiku hata GOT sababu kitabu chake kimekamilika,GOT vitabu vyake havikukamilika ikabidi show runners waje na Mwisho wao ndo maana season 8 haikua nzuri kama season zilizopita (season 1-6)
 
Aegon foresaw the end of the world of men. It began with a terrible winter befalling the far North... Aegon called this dream The Song of Ice and Fire."
View attachment 2331230
 
Mkuu hii kuna uwezekano ikaipiku hata GOT sababu kitabu chake kimekamilika,GOT vitabu vyake havikukamilika ikabidi show runners waje na Mwisho wao ndo maana season 8 haikua nzuri kama season zilizopita (season 1-6)
Hawa jamaa wanajua kinoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…