Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseee 1st episode imevuja,kuna mwana ameleak episode. Ngoja nikaipakue
Weka link chalii nipo nachungulia kwenye site kila muda hapa. Naona labda mpaa jioni ndio itapatikana.
Ukipata muda wa kutulia iangalie Mkuu. Ni Noma.Sijaiangalia ila kwa yule anayeitafuta aipakue pirates bay kwa kutumia bittorrent
Link hiyo hapo juu jmn[emoji3516]
Daah..kuangalia vipande na kusubiri kingine huwa siwezi nasubiri mpaka mzigo wa season1 uishe wote ndio niukalie vizri kucheki.Bonge la seri3s, episode 1 imetupa kile tunachokihitaj kwa sisi fans wa GOT,
Daemon huyu mwamba yuko ruthless, yani kama amgekuwepo kwa GOT mapema sana angekuwa ashaenda kuattack kings landing.
''Aegon called his dream A Song Of Ice And Fire''
9.8/10
Hahahaha nakuelewa Sana Mkuu,Ila naona kama kusubiria mzigo mzima inapunguza uhondo kidogo utakutana na spoilers kila pahaliDaah..kuangalia vipande na kusubiri kingine huwa siwezi nasubiri mpaka mzigo wa season1 uishe wote ndio niukalie vizri kucheki.
#MaendeleoHayanaChama
Acha tu Mzee,hii series kwa ninavyoiona itaipiku GOTBonge la seri3s, episode 1 imetupa kile tunachokihitaj kwa sisi fans wa GOT,
Daemon huyu mwamba yuko ruthless, yani kama amgekuwepo kwa GOT mapema sana angekuwa ashaenda kuattack kings landing.
''Aegon called his dream A Song Of Ice And Fire''
9.8/10
Teaser Trailer ya series ya House of the Dragon imetoka.Ni Prequel ya Game of thrones. Inaanza tarehe 21 August 2022.
Hii series mpya toka HBO ikielezea kiundani chimbuko na historia ya House Targaryen ambayo ilikua ni House ya Yule mother of the Dragons kwenye game of thrones.
Trailer hii hapa Chini itazame.
Official trailer imetoka Leo 20/07/2022
Mkuu hii kuna uwezekano ikaipiku hata GOT sababu kitabu chake kimekamilika,GOT vitabu vyake havikukamilika ikabidi show runners waje na Mwisho wao ndo maana season 8 haikua nzuri kama season zilizopita (season 1-6)Hii kitu itakuwa ni balaa lingne kama ilivyokuwa kwa GOT. Japo sina muda ila ntalifuatilia.
Aegon foresaw the end of the world of men. It began with a terrible winter befalling the far North... Aegon called this dream The Song of Ice and Fire."Bonge la seri3s, episode 1 imetupa kile tunachokihitaj kwa sisi fans wa GOT,
Daemon huyu mwamba yuko ruthless, yani kama amgekuwepo kwa GOT mapema sana angekuwa ashaenda kuattack kings landing.
''Aegon called his dream A Song Of Ice And Fire''
9.8/10
Hawa jamaa wanajua kinomaMkuu hii kuna uwezekano ikaipiku hata GOT sababu kitabu chake kimekamilika,GOT vitabu vyake havikukamilika ikabidi show runners waje na Mwisho wao ndo maana season 8 haikua nzuri kama season zilizopita (season 1-6)