House of the Dragon Special thread

House of the Dragon Special thread

We acha tu,

Niko excited balaa,

Danvers umemuona Daemon lakini???

Sir Criston amekua kama robot tu
Najuta kumchagua Criston Cole daah! Jamaa anaanza kuniudhi ila Daemon mshenzi sana hana mapenzi hata kwa Leana anacheka kwenye mazishi daah.
Nilikua nishamchagua Herwin Strong halafu kafa mapema, Sema niwashauri msichague character kwa sasa mtaumia.
Hivi unajua Jofrey alieleza jinsi Rhaenyra atakavyokufa?? And it's too soon na kaka zake ndio walimuua. You know her brothers 😅
FB_IMG_16632386470834082.jpg
 
Next Sunday ni mbali sana.

Walau nijipoze kwanza na The equalizer s3e1 wakati nangoja SEE na RINGS OF POWER maana huko nako kimenuka hatari.

Hivi hakuna mwenye update ya series ya DEBRIS ? niliielewa sana hii. Naweza iweka pale juu kabisa na series ya sense 8 among many others.
 
See binadamu wanakula watu kama mbuzi[emoji23][emoji23]

Rings of Power...volcano imelipuka...ila nyie hiz series ni kali na zinaishia patamu kweli..
 
Najuta kumchagua Criston Cole daah! Jamaa anaanza kuniudhi ila Daemon mshenzi sana hana mapenzi hata kwa Leana anacheka kwenye mazishi daah.
Nilikua nishamchagua Herwin Strong halafu kafa mapema, Sema niwashauri msichague character kwa sasa mtaumia.
Hivi unajua Jofrey alieleza jinsi Rhaenyra atakavyokufa?? And it's too soon na kaka zake ndio walimuua. You know her brothers [emoji28]View attachment 2376254
Daaah!
Nimeikumbuka hii scene Jofrey alikua anamwambia kati ya Salsa au yule Queen,

Yule Dogo aliyepoteza jicho nahisi ndio atafanya hivyo halafu ana roho mbaya sana
 
Najuta kumchagua Criston Cole daah! Jamaa anaanza kuniudhi ila Daemon mshenzi sana hana mapenzi hata kwa Leana anacheka kwenye mazishi daah.
Nilikua nishamchagua Herwin Strong halafu kafa mapema, Sema niwashauri msichague character kwa sasa mtaumia.
Hivi unajua Jofrey alieleza jinsi Rhaenyra atakavyokufa?? And it's too soon na kaka zake ndio walimuua. You know her brothers [emoji28]View attachment 2376254
Aemond naona atakuwa kama Joffrey, The boy na ile courage yake[emoji119]
 
Yaaan ilikua giza totoro hasa pale Deamon na Rhaenyra walivyokua wanavunja ile Amri ya 6 [emoji2960]

Sema nimeiangalia huku nimetoa macho
Nikajua uliSkip maana their relationship is so disgusting.
Yaani giza tupu kama vile S8Ep3 The Long Night. Hii series ina giza sana aisee
 
Hahahahaha sija skip ila nilishangaaa hadi nikamuita Mtu aje tushangae wote, [emoji2],
Nikapata tabu ya kuanza kumuelezea,

Halafu ujue nimeiangalia jioni hii hii
 
Una moyo mimi napenda nikiangalia kitu niangalie mwenyewe sipendi Distraction. Sitaki maswali nikiwa Kwenye concertration.

Ila kiukweli sijapenda Diologue zao maana naziCompare na GOT
 
Najuta kumchagua Criston Cole daah! Jamaa anaanza kuniudhi ila Daemon mshenzi sana hana mapenzi hata kwa Leana anacheka kwenye mazishi daah.
Nilikua nishamchagua Herwin Strong halafu kafa mapema, Sema niwashauri msichague character kwa sasa mtaumia.
Hivi unajua Jofrey alieleza jinsi Rhaenyra atakavyokufa?? And it's too soon na kaka zake ndio walimuua. You know her brothers [emoji28]View attachment 2376254
Kama uliweza kung'amua vizuri,Vaemond Valerion (ndugu yake Corlys) alikua kama anawadhihaki watoto wa Rhaenyra kama sio damu yao ndo Daemon akaanza kucheka
 
Najuta kumchagua Criston Cole daah! Jamaa anaanza kuniudhi ila Daemon mshenzi sana hana mapenzi hata kwa Leana anacheka kwenye mazishi daah.
Nilikua nishamchagua Herwin Strong halafu kafa mapema, Sema niwashauri msichague character kwa sasa mtaumia.
Hivi unajua Jofrey alieleza jinsi Rhaenyra atakavyokufa?? And it's too soon na kaka zake ndio walimuua. You know her brothers [emoji28]View attachment 2376254
But at the end of the day Rhaenyra ndo atakaeshinda coz mtoto wake ndo atakuja kukaa kwenye Iron throne.
 
Nikajua uliSkip maana their relationship is so disgusting.
Yaani giza tupu kama vile S8Ep3 The Long Night. Hii series ina giza sana aisee
Naona watu wengi Twitter wanalalamika Giza ila kwangu mbona ilikua Sawa tu[emoji23][emoji23]
 
Hahahahaha sija skip ila nilishangaaa hadi nikamuita Mtu aje tushangae wote, [emoji2],
Nikapata tabu ya kuanza kumuelezea,

Halafu ujue nimeiangalia jioni hii hii
Habalii naomba link na mimi
 
Kuna sisi tunaisubir mpka iishe season 1.. japokuwa roho inauma sana
 
''Now the see you as you are''

''I cannot face the greens alone, let us bind our blood just as Aegon the conqueror did with his sister''

Ep 7
9.8/10
"You and I are made of fire. We were always meant to burn together."
 
Do not mourn mother,It was a fair exchange,I may have lost an eye but I gained a dragon(Vhager).
 
Back
Top Bottom