Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,263
- 18,201
We acha tu,Okay then, war it is. Daemon na Rhaenyra wako ruthless.
Kama queen kane wa kwenye see.
Niko excited balaa,
Danvers umemuona Daemon lakini???
Sir Criston amekua kama robot tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We acha tu,Okay then, war it is. Daemon na Rhaenyra wako ruthless.
Kama queen kane wa kwenye see.
Najuta kumchagua Criston Cole daah! Jamaa anaanza kuniudhi ila Daemon mshenzi sana hana mapenzi hata kwa Leana anacheka kwenye mazishi daah.
See binadamu wanakula watu kama mbuzi[emoji23][emoji23]Next Sunday ni mbali sana.
Walau nijipoze kwanza na The equalizer s3e1 wakati nangoja SEE na RINGS OF POWER maana huko nako kimenuka hatari.
Hivi hakuna mwenye update ya series ya DEBRIS ? niliielewa sana hii. Naweza iweka pale juu kabisa na series ya sense 8 among many others.
Daaah!Najuta kumchagua Criston Cole daah! Jamaa anaanza kuniudhi ila Daemon mshenzi sana hana mapenzi hata kwa Leana anacheka kwenye mazishi daah.
Nilikua nishamchagua Herwin Strong halafu kafa mapema, Sema niwashauri msichague character kwa sasa mtaumia.
Hivi unajua Jofrey alieleza jinsi Rhaenyra atakavyokufa?? And it's too soon na kaka zake ndio walimuua. You know her brothers [emoji28]View attachment 2376254
Aemond naona atakuwa kama Joffrey, The boy na ile courage yake[emoji119]Najuta kumchagua Criston Cole daah! Jamaa anaanza kuniudhi ila Daemon mshenzi sana hana mapenzi hata kwa Leana anacheka kwenye mazishi daah.
Nilikua nishamchagua Herwin Strong halafu kafa mapema, Sema niwashauri msichague character kwa sasa mtaumia.
Hivi unajua Jofrey alieleza jinsi Rhaenyra atakavyokufa?? And it's too soon na kaka zake ndio walimuua. You know her brothers [emoji28]View attachment 2376254
Nishamchukia hadi sasa,Alikua Queen Maergery anatembezwa na Jofrey baada ya kuanza kuWin moyo wa Jofrey.
Aemond ni adui kwenye Vitabu utamchukia sana nakwambia
DQ how did you dread it? this Episode 😅😅Nishamchukia hadi sasa,
Yaaan ilikua giza totoro hasa pale Deamon na Rhaenyra walivyokua wanavunja ile Amri ya 6 [emoji2960]DQ how did you dread it? this Episode [emoji28][emoji28]
Nimeongeza mwanga kwenye tarakirishi na kubadili position ya nilipokaa ila wapiii
View attachment 2376310View attachment 2376311
Nikajua uliSkip maana their relationship is so disgusting.Yaaan ilikua giza totoro hasa pale Deamon na Rhaenyra walivyokua wanavunja ile Amri ya 6 [emoji2960]
Sema nimeiangalia huku nimetoa macho
Hahahahaha sija skip ila nilishangaaa hadi nikamuita Mtu aje tushangae wote, [emoji2],Nikajua uliSkip maana their relationship is so disgusting.
Yaani giza tupu kama vile S8Ep3 The Long Night. Hii series ina giza sana aisee
Una moyo mimi napenda nikiangalia kitu niangalie mwenyewe sipendi Distraction. Sitaki maswali nikiwa Kwenye concertration.Hahahahaha sija skip ila nilishangaaa hadi nikamuita Mtu aje tushangae wote, [emoji2],
Nikapata tabu ya kuanza kumuelezea,
Halafu ujue nimeiangalia jioni hii hii
Kama uliweza kung'amua vizuri,Vaemond Valerion (ndugu yake Corlys) alikua kama anawadhihaki watoto wa Rhaenyra kama sio damu yao ndo Daemon akaanza kuchekaNajuta kumchagua Criston Cole daah! Jamaa anaanza kuniudhi ila Daemon mshenzi sana hana mapenzi hata kwa Leana anacheka kwenye mazishi daah.
Nilikua nishamchagua Herwin Strong halafu kafa mapema, Sema niwashauri msichague character kwa sasa mtaumia.
Hivi unajua Jofrey alieleza jinsi Rhaenyra atakavyokufa?? And it's too soon na kaka zake ndio walimuua. You know her brothers [emoji28]View attachment 2376254
But at the end of the day Rhaenyra ndo atakaeshinda coz mtoto wake ndo atakuja kukaa kwenye Iron throne.Najuta kumchagua Criston Cole daah! Jamaa anaanza kuniudhi ila Daemon mshenzi sana hana mapenzi hata kwa Leana anacheka kwenye mazishi daah.
Nilikua nishamchagua Herwin Strong halafu kafa mapema, Sema niwashauri msichague character kwa sasa mtaumia.
Hivi unajua Jofrey alieleza jinsi Rhaenyra atakavyokufa?? And it's too soon na kaka zake ndio walimuua. You know her brothers [emoji28]View attachment 2376254
Nini Joffrey,Yule jamaa ni Ramsey Bolton mtupuAemond naona atakuwa kama Joffrey, The boy na ile courage yake[emoji119]
Naona watu wengi Twitter wanalalamika Giza ila kwangu mbona ilikua Sawa tu[emoji23][emoji23]Nikajua uliSkip maana their relationship is so disgusting.
Yaani giza tupu kama vile S8Ep3 The Long Night. Hii series ina giza sana aisee
Habalii naomba link na mimiHahahahaha sija skip ila nilishangaaa hadi nikamuita Mtu aje tushangae wote, [emoji2],
Nikapata tabu ya kuanza kumuelezea,
Halafu ujue nimeiangalia jioni hii hii
"You and I are made of fire. We were always meant to burn together."''Now the see you as you are''
''I cannot face the greens alone, let us bind our blood just as Aegon the conqueror did with his sister''
Ep 7
9.8/10