House of the Dragon Special thread

House of the Dragon Special thread

Episode 10

Rate: 09/10

Nimeumia sana yule dogo kufa japo nilihisi angekufa hasa pale alipomshika mama ake mkono,

Queen Rhaenyra kama hatopata sababu ya Vita atanikera sanaa,

Criston Cole ulituambia Rhaenyra hatoboi season 2 umeona sasa ngoma ndio kwaaaanza imeanza,
Aemond hana maisha.
 
QD sijaitazama nilikua bize bize kweli please don't spoil it to me
 
Arrax mbele ya vhagar alikuwa kama kanjiwa.
dragon_attack.gif
 
Hapana hawatahusika humu. Hii series inazungumzia Vita vya wenyewe Kwa wenyewe ya House of Targaryen wakigombea Iron throne, ambavyo vilitokea miaka 200 kabla ya matukio ya Game of thrones kuanza. Hivyo humu tegemea kuona mapigano ya dragons zaidi. Kwenye Game of thrones kulikua na dragons watatu humu tegemea kuwaona wengi zaidi.
Vhagar, Syrax, Vermouth, Seasmoke na Meleys and their riders.
 
Episode 9

Rate: 9/10

Ndo nimeimaliza now,

Uwiiiiiii nimependa sana Princess Rhaenys alivyovamia na Dragon wake, nilipiga makelele na kuruka kuruka [emoji1787] nilitamani Dragon angemburn baba ake Alicent [emoji2959]
She didn't wanna leave Meleys behind hahaha
 
Yule dogo kijicho mpuuzi sana.

Anapenda battle Kila saa[emoji1787]

Sasa anapeleka kilio huko king's landing

Yeye kuwa yule dragon mkubwa kunampa kiburi.

Nimeona pia daemon ana dragon mkubwa

Tutegemee itanoga sana season 2
Yule dragon mkubwa ni Vermouth ila Daemon wont ride him ataendelea kubaki na Caraxes wake. Ila the biggest yupo kuliko Vhagar. Its said to be Cannibal one of the three wild dragons na wenzie ni Grey ghost na Sheepstealer. Hao ni wild cause never tamed na dragon awe mkubwa depends na genes, type of food they eat na uhuru,(cannibal alikuwa anakula dragon wenzie 🤣 🤣 ) dragon akishinda anafungiwa hakui sana. Ni sawa na Drogon wa Dany alikuwa mkubwa sana compared kwa umri wake ukilinganisha na Vhagar. Na drogon it is said atakuja kuja kuwa mkubwa sana. He was always free leaving Rhaegal na Viserion locked.
Cannibal pia inasemekana alikuwa ame exceed life span ya normal life span ya dragon. And whoever tried to claim him haku toka salama.
 
House of the Dragon yashinda kama Series Bora ya mwaka kwenye tuzo za Golden Globe

House of the Dragon wins the award for Best Drama Television Series at the #GoldenGlobes   .
 
Hii series episode one nimedownload ila naona kuna shida ya subtitle, naona kama zinawahi kabla ya video. Inanikera sana ila nitaifuatilia hivyohivyo kwa sababu nasikia ni nzuri
 
Imenishinda kisa hiyo shida ya subtitles, nimeachana nayo subtitles zinaenda haraka na zinawahi kuliko video. Mimi series bila subtitles siwezi kuelewa. Nilitamani sana niifuatilie series hii lakini nadhani sikuwa na nyota nayo karibia kila website ninayojaribu kutafuta subtitles zote haziko sawa tena hadi second episode nayo ni hivyohivyo. Nimechoma tu vi-MB vyangu.
Kama kuna anayejua solution anisaidie au naomba website inayoweza kunipa correct subtitles
 
Download kutoka netnaija subtitle yake inaendana na video.
 
Back
Top Bottom