juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,924
- 5,406
Haha tutegemee 2023 mwishon au 2024Waungwana season 2 Inatoka lini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha tutegemee 2023 mwishon au 2024Waungwana season 2 Inatoka lini.
2024 confirmedWaungwana season 2 Inatoka lini.
QD sijaitazama nilikua bize bize kweli please don't spoil it to meEpisode 10
Rate: 09/10
Nimeumia sana yule dogo kufa japo nilihisi angekufa hasa pale alipomshika mama ake mkono,
Queen Rhaenyra kama hatopata sababu ya Vita atanikera sanaa,
Criston Cole ulituambia Rhaenyra hatoboi season 2 umeona sasa ngoma ndio kwaaaanza imeanza,
Aemond hana maisha.
Vhagar, Syrax, Vermouth, Seasmoke na Meleys and their riders.Hapana hawatahusika humu. Hii series inazungumzia Vita vya wenyewe Kwa wenyewe ya House of Targaryen wakigombea Iron throne, ambavyo vilitokea miaka 200 kabla ya matukio ya Game of thrones kuanza. Hivyo humu tegemea kuona mapigano ya dragons zaidi. Kwenye Game of thrones kulikua na dragons watatu humu tegemea kuwaona wengi zaidi.
Are you sure this is the right tree? Can't see myself 🙆♂️😳Kama ndio family tree tu iko hivi... Bado ndio kwanza tunaanza .View attachment 2390141
She didn't wanna leave Meleys behind hahahaEpisode 9
Rate: 9/10
Ndo nimeimaliza now,
Uwiiiiiii nimependa sana Princess Rhaenys alivyovamia na Dragon wake, nilipiga makelele na kuruka kuruka [emoji1787] nilitamani Dragon angemburn baba ake Alicent [emoji2959]
Yule dragon mkubwa ni Vermouth ila Daemon wont ride him ataendelea kubaki na Caraxes wake. Ila the biggest yupo kuliko Vhagar. Its said to be Cannibal one of the three wild dragons na wenzie ni Grey ghost na Sheepstealer. Hao ni wild cause never tamed na dragon awe mkubwa depends na genes, type of food they eat na uhuru,(cannibal alikuwa anakula dragon wenzie 🤣 🤣 ) dragon akishinda anafungiwa hakui sana. Ni sawa na Drogon wa Dany alikuwa mkubwa sana compared kwa umri wake ukilinganisha na Vhagar. Na drogon it is said atakuja kuja kuwa mkubwa sana. He was always free leaving Rhaegal na Viserion locked.Yule dogo kijicho mpuuzi sana.
Anapenda battle Kila saa[emoji1787]
Sasa anapeleka kilio huko king's landing
Yeye kuwa yule dragon mkubwa kunampa kiburi.
Nimeona pia daemon ana dragon mkubwa
Tutegemee itanoga sana season 2
2024Waungwana season 2 Inatoka lini.
Caraxes, Sunfyre, Dreamfyre, Vermax,Arrax... Season 2 nadhani tutaona dragons wengine zaidiVhagar, Syrax, Vermouth, Seasmoke na Meleys and their riders.
Yeah ready for the big war, yoyote mwenye uwezo wa ku ride apewe dragon hahahaCaraxes, Sunfyre, Dreamfyre, Vermax,Arrax... Season 2 nadhani tutaona dragons wengine zaidi
Download kutoka netnaija subtitle yake inaendana na video.Imenishinda kisa hiyo shida ya subtitles, nimeachana nayo subtitles zinaenda haraka na zinawahi kuliko video. Mimi series bila subtitles siwezi kuelewa. Nilitamani sana niifuatilie series hii lakini nadhani sikuwa na nyota nayo karibia kila website ninayojaribu kutafuta subtitles zote haziko sawa tena hadi second episode nayo ni hivyohivyo. Nimechoma tu vi-MB vyangu.
Kama kuna anayejua solution anisaidie au naomba website inayoweza kunipa correct subtitles
Nimedownload Netnaija mambo ndo yaleyale tuDownload kutoka netnaija subtitle yake inaendana na video.