Houseboy achomwa kisu na bosi wake baada ya kufumaniwa na mke

😁 😁 kweli mkuu ila dawa ni kujilinda na kuwa makini mtu asifike huko hasa ka anamtu wake. but exception zipo ila sipenddi zitetea
Mkuu na King's daughter msisahau pia kuna upande wa pili ambapo akinamama hupenda kulipa kisasi. Anamkomoa mumewe kwa kuwa aidha amesikia au amehakikisha kuwa mumewe anakula nje, yeye anamkomoa kwa kumpatia houseboy
 
Mtoto wa Mfalme Helode, kumbuka uhanga ni janga kubwa sana. Ukiwa na uhanga hata mbuzi unaweza kumpanda. Tumsamehe tu ila tujifunze kujaribu kujikontroll tukipandwa na uhanga
Hana msimamo huyo . Ni tabia yake. Tabia ni kama ngozi tu. Mwanamke anayejitambua na mcha Mungu hawez fanya uchafu huo tena nyumbani kwake kwenye kitanda chake na mmewe
 
Mkuu na King's daughter msisahau pia kuna upande wa pili ambapo akinamama hupenda kulipa kisasi. Anamkomoa mumewe kwa kuwa aidha amesikia au amehakikisha kuwa mumewe anakula nje, yeye anamkomoa kwa kumpatia houseboy
hilo sawa ila unadhani hapo panaweza kuwa na ndoa ka mtu atakuwa wa visasiii, kama kunamgogoro uliopo ndani ya ndoa na hujapatiwa ufumbuzi unaweza leta haya yote but hata kwetu hatupaswi kuishi hivyo
 
Kuchapiwa na house boy inauma sana, ukute mke anakunjwa staili ambazo hata mume huwa humkunji kuhofia kumuumiza
 
😡😱Duh,nimejikuta mwili wote unanisisimka...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€Haha... Itaandikwa "Based on true story"...
'Based on a true story' haitakuwa kikwazo cha humo ndani kuwa na uhondo wa uchawi kutoka sayari nyingine. Bwana nyumba lazima atageuza awe paka wa nyumba kwa miaka ishirini. Expiry date ya uchawi ikiwadia anarudi kwenye hali yake ya zamani. Hamna cha mvi, kuzeeka wala nini. [emoji1]
 
Ikifika wakati wa expire date inaanza na maandishi "20 Years Later" lakini mzee mwenye nyumba hana mvi, seti ya makochi sebuleni bado ni ile ile na hata rangi ya nyumba bado ni ile ile... Hahaa πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ raha sana...
 
Dah,hivi ma house boy kumbe nao ni wabaya,bora tusiweke wafanyakazi sasa...
 
Magazeti uchwara yanandika sababu n WIVU WA MAPENZI, kama vile alitakiwa ku share mapenzi kama maandazi.
 
House boy Yupo Hosptal, Mwenye Mke Yuko Police, Mke yupo Mtaani Anaendelea Kutafunwa..

Mwanamke ndo Chanzo cha matatizo Yote Dunia hii..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…