Mkuu na King's daughter msisahau pia kuna upande wa pili ambapo akinamama hupenda kulipa kisasi. Anamkomoa mumewe kwa kuwa aidha amesikia au amehakikisha kuwa mumewe anakula nje, yeye anamkomoa kwa kumpatia houseboy😁 😁 kweli mkuu ila dawa ni kujilinda na kuwa makini mtu asifike huko hasa ka anamtu wake. but exception zipo ila sipenddi zitetea