MetaTrade 4
Member
- Jul 18, 2019
- 42
- 65
Umeanza kusoma aya ya ngapi?Sad...... Hii imetokea wapi?
Nitakuvunja umeshavunjwa huko uliko huku na malizia tuSitakitafuta maana utanivunja kiuno bure
Dah! Mkuu, hapo umewapiga wanaume mkuki; mimba za watoto wetu wanafukuzwa mara moja, mimba za houseboys tunazitunza na kulea watoto!! Mwe!Mama anazaa mtoto anafanana na house boy lakini kitanda hakizai haramu. House girl akianza kutapika anapewa nauli arudi kwao.
Hasira hasara!!! Yeye alitakiwa kufukuza huyo mke akaendelee na huyo houseboy siyo kufanya alichofanya. Aombe asife maana akifa inageuka na kuwa kesi ya mauaji!!! Guys be careful!!!
Maisha ya kibarua mmoja (house boy) katika Kaunti ya Kirinyaga nchini Kenya yako hatarini baada ya kuchomwa kisu na mwanaume ambaye alimkuta kitandani na mkewe.
Inadaiwa kuwa mume huyo alikuwa ameondoka nyumbani kuelekea kazini Jumatatu asubuhi, lakini akagundua alikuwa amesahau kitambulisho.
Hata hivyo, aliporejea nyumbani alishangaa kumkuta mfanyakazi huyo kitandani na mkewe, ndipo akapandwa na hasira na kuchukua kisu, akamdunga mikononi na sehemu nyingine za mwili, akimsababishia majeraha tele mwilini.
Mshukiwa alipiga mayowe akitafuta msaadaa, mayowe yake yaliwashtua wakazi wengi ambao walimwokoa na kumkimbiza katika hospitali ya binafsi ya White Rose, ambapo bado anatibiwa baada ya kushonwa majeraha.
Mume husika alikamatwa na polisi wa utawala eneo hilo na bado anazuiliwa akihojiwa, wakazi wakisema alikuwa karibu kumuua mfanyakazi huyo.
Ushawahi kuchapiwa na ukagundua?KUCHAPIWA KAVUKAVU KUNAUMA ASIKWAMBIE MTU
SIO MPAKA NIKUAMINISHE ILA, KUCHAPIWA SIKIA KWA MWENZIOUshawahi kuchapiwa na ukagundua?
Hahaha , acha uongoMacho hayajafunguka vizuri.... Usingizi bado upo....
Wakenya wastaarabu hawatumii gunia mbili za mkaa kama hukuKuchapiwa na house boy inauma sana, ukute mke anakunjwa staili ambazo hata mume huwa humkunji kuhofia kumuumiza