Houseboy achomwa kisu na bosi wake baada ya kufumaniwa na mke

Houseboy achomwa kisu na bosi wake baada ya kufumaniwa na mke

Mama anazaa mtoto anafanana na house boy lakini kitanda hakizai haramu. House girl akianza kutapika anapewa nauli arudi kwao.
Dah! Mkuu, hapo umewapiga wanaume mkuki; mimba za watoto wetu wanafukuzwa mara moja, mimba za houseboys tunazitunza na kulea watoto!! Mwe!
 
Maisha ya kibarua mmoja (house boy) katika Kaunti ya Kirinyaga nchini Kenya yako hatarini baada ya kuchomwa kisu na mwanaume ambaye alimkuta kitandani na mkewe.

Inadaiwa kuwa mume huyo alikuwa ameondoka nyumbani kuelekea kazini Jumatatu asubuhi, lakini akagundua alikuwa amesahau kitambulisho.

Hata hivyo, aliporejea nyumbani alishangaa kumkuta mfanyakazi huyo kitandani na mkewe, ndipo akapandwa na hasira na kuchukua kisu, akamdunga mikononi na sehemu nyingine za mwili, akimsababishia majeraha tele mwilini.

Mshukiwa alipiga mayowe akitafuta msaadaa, mayowe yake yaliwashtua wakazi wengi ambao walimwokoa na kumkimbiza katika hospitali ya binafsi ya White Rose, ambapo bado anatibiwa baada ya kushonwa majeraha.

Mume husika alikamatwa na polisi wa utawala eneo hilo na bado anazuiliwa akihojiwa, wakazi wakisema alikuwa karibu kumuua mfanyakazi huyo.
Hasira hasara!!! Yeye alitakiwa kufukuza huyo mke akaendelee na huyo houseboy siyo kufanya alichofanya. Aombe asife maana akifa inageuka na kuwa kesi ya mauaji!!! Guys be careful!!!
 
MUME ALIELIWA MKE ALISHAKOSEA KANUNI. SASA IMEMKOSTI,

HUWEZI KUKARIBISHA MWANAUME MAADABU NI MTU ALIEBALEGHE UMKARIBISHE KTK NYUMBA YAKO KISHA WEWE UONDOKE!!!!

WATOTO WATAPATA SHIDA, MUME NDIO AMESHACHAFUKA, MKE NAE AMESHACHAFUKA HATA HANA MAANA TENA KTK JAMII

TATIZO NI LA MUME KWANZA, KWA KOSA LAKE LA KUMKABIDHI MKEWE KWENYE MIKONO YA IBILISI, MAANA KUACHA NYUMA MKE NA MTU AMBAE SHERIA INAMRUHUSU KUOANA NAE NI KOSA KABISA KABISAA.

NA WENYE KULIWA NI WENGI, WENGINE WANAVUNGA NA WENGINE HAWAJAGUNDUA LAKINI ULAINI WA KUACHA WANAWAKE NA WAVULANA WA KAZI AU MAFUNDI MAJUMBANI HII NI TABIA WANAYO WATU WENGI. .... ZINDUKENIIII!!!!!!

BAADA YA MAKOSA HAYO YA HUYO KUME, NDIO TUJE SASA KWENYE MAKOSA YA HUYO BIBIE, KWA KUTENGENEZA MAZINGIRA YA KIPIGWA NA MTU TOFAUTI, THEN MWISHO TUJE KTK MAKOSA YA HUYO KIJANA MWIZI.

NI SOMO TOSHA KWA JAMII

Back
Top Bottom