Desidii
JF-Expert Member
- Oct 2, 2007
- 1,201
- 86
- Thread starter
- #361
Nisome hapo juu wapi? Nataka nijue huyu hausiboi aliyejaribu bahati yake kwa mama mwenye nyumba hatima yake imekuwa nini? Baba mwenye nyumba kahusishwa? Amepokeaje habari hizo? Kijana bado ana meno yote 32?
Mmmhh ukisikia kukaba hadi penalt ndo huku. Baba mwenye nyumba kahusishwa hakukasirika alishukuru kufahamu ila alichouliza ilikuwaje mbona huwa hamko karibu nikaeleza ni story za mkewe nilipochangia ndo akachomekea. Kijana hajafanywa chochote sababu ni wa home kwao kwenye senene anapanga kumrudisha mwisho wa mwezi tukipata pesa maana pesa zote tumelipia watoto ada. Nadhani nimekujibu kama una swali don't sita to contact me.