Housegirl ana mvuto zaidi ya mke wangu...

pole yako mwaya wewe ndio wale kundi la Haambiliki............

Dont judge a book from its cover! Mi ninataka haki ndo maana naleta matatizo haya hapa baada ya kushindwa kupata ufumbuzi hata kwa paroko!
 

eheeeeeeeee ya dunia yananichanganya na wanadamu pia, men you dont have respect for you wife, try to express you feeling to your wife kwa vi2 ambavyo uvipendi,,, try to imagine mkeo angekuwa anamtaka house boy, i mean anataka akupindue wewe awe na house boy ungejisikiaje................
 

Kwa bahati nzuri, sina houseboy kabisa. In fact i do respect my wife and i used to love her....but love slowly diminished after she became uncooperative! How do you live with a woman who doesnt know her responsibilities? Hebu fikiria ungekuwa wewe mwenzangu.
 
Naanza kuona tatizo na HG ameshaona una valiyu hivyo anatumia mbinu zote kuzorotesha uhusiano wenu....ila kwakuwa mawazo yako yameisha kuwa na mwelekeo hasi basi siyo rahisi kukutoa uliko gotea cha msingi achana na house girl tafuta msicha mwingine ila yakupasa utulie japo na hg anaweza kuolewa ila ukitaka kumuoa muachishe kazi mpangie kwingine mbali na hapo unapo kaa then umuombe mkeo mpeane talaka halafu utafute House girl mwingine wakufanya kazi na wewe endeleza uhusiano wenu na hg wakwanza!
 
Invisible close this topic the guy has no limit to receive!!!mean while can't change!
 
Last edited by a moderator:

Siwezi kuoa mke mwingine zaidi ya yule ninaemfaham. Nime mustudy HG for 4 years nimeona anaweza kutulia. I dont want to make another mistake on this! Pili, HG nimemstawisha mimi, iweje aolewe na mtu mwingine? I cannot afford to lose that beauty!
 
Thanks very much Mr Wiyelele for your attractive thread!! i have learn enough, how people like to be in both way,positive way and negative way i hope now we need to go back to work we have contribute a lot enough to this thread thanks.
 
Last edited by a moderator:

Jinsi ninavyofuatilia nyuzi zako jamvini, I am scared and pity your wife. Hapa naona unatafuta justification ya kumtemdea ubaya mke wako. Re: Stori ya Grads etc. Nakusoma...this is pathetic.
 
Jinsi ninavyofuatilia nyuzi zako jamvini, I am scared and pity your wife. Hapa naona unatafuta justification ya kumtemdea ubaya mke wako. Re: Stori ya Grads etc. Nakusoma...this is pathetic.

You are subjective, tazama pia upande wa mke wangu, mapungufu yake hujayaona?
 
Si unamuoa tu, unakuwa na wawili na kama unaona mkeo amepoteza mvuto kabisa kwako, ni kumuacha tu. Ya nini tabu na raha zipo?
 
Kimsingi tunajua ma house girl wanavyokuwa na uyugu mwingi kwa kukosa huduma na unapowagusa mhemko unakuwa first class mwanzo mwisho, hilo lisikupagawishe ukimkamua kwa muda ukamkausha uyugu atabaki kama my wife, so acha mbwembwe tulia na mkeo na acha kuonja onja...Kupokelewa mzigo tu ndio sababu? si useme tu brodha!
 
You are subjective, tazama pia upande wa mke wangu, mapungufu yake hujayaona?

Mwanamume anaeshindwa kukaa na mke wake na kutumia busara kumaliza tofauti, nae anamatatizo. We see one side of the coin...and there are always 2 sides of a story. Am objective and principaled kwa hiyo ctashangilia hapa jamvini unachopanga kufanya na kutuomba support.
 

Ungefuatilia sana hii thread kwa vile nimeomba ushauri wa kutosha, kwa ndugu zake, kanisani na wasomi wenzake (ambao wanampotosha maana wasomi wanawake hawana ushauri mzuri). Sasa maji yalinifika shingoni bahati nzuri akajitokeza huyu mrembo HG....aaaa we acha tu. Ana kila sifa na muelewa, mzusi, ana heshima na mcheshi. Anaheshimika kuliko mke wangu, sasa nifanyeje? Si lazima achukue nafasi? Hapo nitakuwa nimekosea?
 

We hayajakukuta haya ndo maana unataka niyavumilie. Unafikiri miaka 4 ni midogo?
 

Wiyelele. Sitatoa ushauri maana ushapotea. Kwa kurejelea sehemu niliyobold, ninalazimika kutotoa ushauri maana umeshastereotype. Endelea kumsifia huyo HG ili uikoshe nafsi yako.
 
Mpende Mkeo
Mwambie unataka akufanyie nini
Mfundishe vitu vizuri vizuri
Mtengeneze kama ulivyomtengeneza HG wako
utafurahia hakika
 
Mpende Mkeo
Mwambie unataka akufanyie nini
Mfundishe vitu vizuri vizuri
Mtengeneze kama ulivyomtengeneza HG wako
utafurahia hakika

Kama nimeanza kumtengeneza HG, inamaana it started with my wife ambaye habadiliki hata umfanyie uzuri wowote!
 
Wiyelele. Sitatoa ushauri maana ushapotea. Kwa kurejelea sehemu niliyobold, ninalazimika kutotoa ushauri maana umeshastereotype. Endelea kumsifia huyo HG ili uikoshe nafsi yako.

Ah usikasirike ila uwe objective.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…