Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimepata ushauri na nashukuru kwa wale wote walionipa ushauri wa kuachana na ex-girlfriend ambaye kwa sasa ni mke wa mtu (japo bado kinaniuma anavyoteswa). Lakini tatizo linalobaki ni kwamba mke wangu bado yupo. Kwa vile yeye anawahi kurudi job, nikifika wala hastuki - hanipokei mizigo! Nguo hajawahi kunifulia na kila kitu kama kunyoosha nguo zangu (na zake), kupika, kung'arisha viatu vyangu anafanya housegirl ambaye tumekaa nae miaka karibu 4.
Watu wengi wakimuona huwa wanamheshimu kuliko mke wangu kutokana na upole na urembo wake. Mke wangu ni kinara wa kuchonga maneno! Kila siku ni ugomvi tu na hana shukrani. Huyu HG, ni mzuri kuliko mke wangu. Nimemlea na anapendeza mtoto wa watu akipita anaita vilivyo. Naona ni vema mke wangu ampishe huyu housegirl. Naomba ushauri nifanyeje jamani maana housegirl anavyong'ara itaniuma akienda kwa mtu mwingine.
eheeeeeeeee ya dunia yananichanganya na wanadamu pia, men you dont have respect for you wife, try to express you feeling to your wife kwa vi2 ambavyo uvipendi,,, try to imagine mkeo angekuwa anamtaka house boy, i mean anataka akupindue wewe awe na house boy ungejisikiaje................
Naanza kuona tatizo na HG ameshaona una valiyu hivyo anatumia mbinu zote kuzorotesha uhusiano wenu....ila kwakuwa mawazo yako yameisha kuwa na mwelekeo hasi basi siyo rahisi kukutoa uliko gotea cha msingi achana na house girl tafuta msicha mwingine ila yakupasa utulie japo na hg anaweza kuolewa ila ukitaka kumuoa muachishe kazi mpangie kwingine mbali na hapo unapo kaa then umuombe mkeo mpeane talaka halafu utafute House girl mwingine wakufanya kazi na wewe endeleza uhusiano wenu na hg wakwanza!Ninachokitafuta ni mtu kutambua wajibu wake. HG anatambua kwamba ni HG na si mke. Mke wangu anatambua kuwa yeye ndo kidume! Nikija wala hastuki! Sasa wewe utampenda yupi hapo? Tena watu wanamheshim sana my HG kuliko mke wangu. Akishinda home mtagombana kila dakika. Ndo maan huwa sishindi home hata kidogo. Nyumba ni kama guest house tu. Nikiwa sitting rum, huwa HG ndo anajaribu kuongea nami kwa upole na kunifurahisha moyo wangu. Mbali na hapo, she is beautiful and attractive.Hata majirani wanasema ingefaa kama HG angekuwa mke wangu. She is 30 and single. It pains me that beautiful and well respectful women aren't getting married ila tunaoa matapishi jamani.
Naanza kuona tatizo na HG ameshaona una valiyu hivyo anatumia mbinu zote kuzorotesha uhusiano wenu....ila kwakuwa mawazo yako yameisha kuwa na mwelekeo hasi basi siyo rahisi kukutoa uliko gotea cha msingi achana na house girl tafuta msicha mwingine ila yakupasa utulie japo na hg anaweza kuolewa ila ukitaka kumuoa muachishe kazi mpangie kwingine mbali na hapo unapo kaa then umuombe mkeo mpeane talaka halafu utafute House girl mwingine wakufanya kazi na wewe endeleza uhusiano wenu na hg wakwanza!
Nimepata ushauri na nashukuru kwa wale wote walionipa ushauri wa kuachana na ex-girlfriend ambaye kwa sasa ni mke wa mtu (japo bado kinaniuma anavyoteswa). Lakini tatizo linalobaki ni kwamba mke wangu bado yupo. Kwa vile yeye anawahi kurudi job, nikifika wala hastuki - hanipokei mizigo! Nguo hajawahi kunifulia na kila kitu kama kunyoosha nguo zangu (na zake), kupika, kung'arisha viatu vyangu anafanya housegirl ambaye tumekaa nae miaka karibu 4.
Watu wengi wakimuona huwa wanamheshimu kuliko mke wangu kutokana na upole na urembo wake. Mke wangu ni kinara wa kuchonga maneno! Kila siku ni ugomvi tu na hana shukrani. Huyu HG, ni mzuri kuliko mke wangu. Nimemlea na anapendeza mtoto wa watu akipita anaita vilivyo. Naona ni vema mke wangu ampishe huyu housegirl. Naomba ushauri nifanyeje jamani maana housegirl anavyong'ara itaniuma akienda kwa mtu mwingine.
Jinsi ninavyofuatilia nyuzi zako jamvini, I am scared and pity your wife. Hapa naona unatafuta justification ya kumtemdea ubaya mke wako. Re: Stori ya Grads etc. Nakusoma...this is pathetic.
You are subjective, tazama pia upande wa mke wangu, mapungufu yake hujayaona?
Mwanamume anaeshindwa kukaa na mke wake na kutumia busara kumaliza tofauti, nae anamatatizo. We see one side of the coin...and there are always 2 sides of a story. Am objective and principaled kwa hiyo ctashangilia hapa jamvini unachopanga kufanya na kutuomba support.
Kimsingi tunajua ma house girl wanavyokuwa na uyugu mwingi kwa kukosa huduma na unapowagusa mhemko unakuwa first class mwanzo mwisho, hilo lisikupagawishe ukimkamua kwa muda ukamkausha uyugu atabaki kama my wife, so acha mbwembwe tulia na mkeo na acha kuonja onja...Kupokelewa mzigo tu ndio sababu? si useme tu brodha!
Ungefuatilia sana hii thread kwa vile nimeomba ushauri wa kutosha, kwa ndugu zake, kanisani na wasomi wenzake (ambao wanampotosha maana wasomi wanawake hawana ushauri mzuri). Sasa maji yalinifika shingoni bahati nzuri akajitokeza huyu mrembo HG....aaaa we acha tu. Ana kila sifa na muelewa, mzusi, ana heshima na mcheshi. Anaheshimika kuliko mke wangu, sasa nifanyeje? Si lazima achukue nafasi? Hapo nitakuwa nimekosea?
Nitasupply dawa ya kuwaganduaUnatafuta kunatana na housegirl
Mpende Mkeo
Mwambie unataka akufanyie nini
Mfundishe vitu vizuri vizuri
Mtengeneze kama ulivyomtengeneza HG wako
utafurahia hakika