Housegirl ana mvuto zaidi ya mke wangu...

Unajua nini wanawake wazuri hawaishi utamuacha huyo mkeo utamchukua beki tatu atatokea mwanamke mzuri kushinda huyo beki tatu cha msingi we ridhika na huyo mkeo la sivyo utaacha wanawake wote na bado usiridhike.

tena huyo beki tatu unaweza ukaanza kumzodoa eti hajenda shule, wakija washikaji zako hata wakiomba maji ya kunywa hawezi kuwapa.

kwani huyo waifu wako ulishawahi kaa na zungumza naye juu ya wajibu wake kwako, na kipi ungependelea akufanyie lakini hupati kwake?

Huyo beki tatu ameshausoma mchezo hapo house (sio home) kwako, ukijichangaya tu, she can be the worst thing you have ever thought
 
braza we player tu,hapo unaomba ushauri au unataarifu umma 7bu za wewe kuhamishia majeshi kwa HG?
Nipatie mkeo basi ubaki na HG,napendaga wanaochonga mieeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Wanawake ni sawa na wanaume, hakuna MKAMILIFU mia kwa mia. Wenzio tumeisha kula ugali na chai wakati mboga ipo imechacha tu!
Unajua nini wanawake wazuri hawaishi utamuacha huyo mkeo utamchukua beki tatu atatokea mwanamke mzuri kushinda huyo beki tatu cha msingi we ridhika na huyo mkeo la sivyo utaacha wanawake wote na bado usiridhike.
Tatizo yawezekana kisha mtongoza na yawezekana wanakutana kimwili kisirisiri sasa anatafuta njia ya KUTOKA NAE 'OUT'.
 
Jamani mbinu zote nimetumia imeshindikana. Sasa huyu HG ndo ananifaa kabisa. Msemo unasema, kimfaacho mtu nichake pia.
 
braza we player tu,hapo unaomba ushauri au unataarifu umma 7bu za wewe kuhamishia majeshi kwa HG?
Nipatie mkeo basi ubaki na HG,napendaga wanaochonga mieeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Njoo umchukue tena bure!
 
dunia ina mambo
 
mke wako aliacha kuwaa na mvuto lini? au ulisakiziwa?
 
Then Talk to her men, wewe ni mwanaume......ongea naye vizuri......kama uwezi ongea naye talk to her best friends...
 
My friend, this marriage is incurable! I have been in hell with this for 4 years!

she is also in a hell unadhani kukaa na mtu akugeuze slave ni kazi rahisi, wewe unampa mapenzi gani? anakuvumilia tu mpaka hapo ulifundishwa kwenu upokee tu, nenda kaoe hg alinajukumu la kutunza nyumba tu
 
Naomba unijibu hili swali kabla ya ushauri nitakao kupatia "Je wakati unachukua uamuzi wa kumuoa huyo mkeo ulitumia vugezo vipi?"na je haukumchunguza tabia zake kabla?kipi kilikuvutia kuwa na huyo mchonga maneno?
 
she is also in a hell unadhani kukaa na mtu akugeuze slave ni kazi rahisi, wewe unampa mapenzi gani? anakuvumilia tu mpaka hapo ulifundishwa kwenu upokee tu, nenda kaoe hg alinajukumu la kutunza nyumba tu

By the way, HG is a common name. Behind that name lies a beautiful and respected girl...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…