Housegirl ananilazimisha tufanye mapenzi

muoga wa jf

Senior Member
Joined
Jun 27, 2016
Posts
198
Reaction score
224
Eti ngoja niende kwa mada, huyu housegirl wetu ananilazimisha tufanye mapenzi, mimi nimemwambia sitaki kila siku anakuja chumbani kwangu hadi anakera, msaada nifanyaje sasa?
 
Eti ngoja niende kwa mada huyu hausigel wetu ananilazimisha tudoo mimi nimemwambia sitaki kila siku anakuja chumbani kwangu hadi anakera...msaada nifanyaje sasa au nimwambie mama si ndivyo
HAHAHAHAAAAAAAAAAAAAA KAMA HANA MIMBA ANATAFUTA WA KUMSINGIZIA BASI ANA NGOMA
 
Mwambie akuandikie barua ya kiapo na aseme kuwa kwa akili zake zote, nguvu zake zote na moyo wote amedhamilia kufanya mapenzi na wewe, atakutunzia siri na hutahusika na mimba yoyote itakayotokea. Hapo mkuu utakuwa salama, copy moja mpe mama na nyingine weka humu jf Ova
 
Do nae uondoe usumbufu

Sent from my SM-N910C using JamiiForums mobile app
 
Una umri gani??

don't care for those who ignore you,care for those who are ignoring others for you[\color].

 
Kuwa tayari lolote likitokea anaweza kuwa mwana familia.
 
Nunua condom afu mfanye kama mbogaaa

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Eti ngoja niende kwa mada huyu hausigel wetu ananilazimisha tudoo mimi nimemwambia sitaki kila siku anakuja chumbani kwangu hadi anakera...msaada nifanyaje sasa au nimwambie mama si ndivyo
Mwambie hutaki asikuharibie maisha maana ni juzi tuu matokeo yametoka na umefaulu mtihani wa kidato cha sita kwa kupata alama C,C,C kwenye masomo yako na unatafuta chuo cha kwenda kusoma hivyo akusubiri angalau ufikisha maliza chuo au ukifikisha miaka 24.
Ukimwambia hivyo hatokusumbua na atakuonea huruma.
Pole sana
 
Sawa mukuu nimekuelewaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…