muoga wa jf
Senior Member
- Jun 27, 2016
- 198
- 224
Eti ngoja niende kwa mada, huyu housegirl wetu ananilazimisha tufanye mapenzi, mimi nimemwambia sitaki kila siku anakuja chumbani kwangu hadi anakera, msaada nifanyaje sasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HAHAHAHAAAAAAAAAAAAAA KAMA HANA MIMBA ANATAFUTA WA KUMSINGIZIA BASI ANA NGOMAEti ngoja niende kwa mada huyu hausigel wetu ananilazimisha tudoo mimi nimemwambia sitaki kila siku anakuja chumbani kwangu hadi anakera...msaada nifanyaje sasa au nimwambie mama si ndivyo
mfanye mbona unakuwa mchoyo eboooEti ngoja niende kwa mada huyu hausigel wetu ananilazimisha tudoo mimi nimemwambia sitaki kila siku anakuja chumbani kwangu hadi anakera...msaada nifanyaje sasa au nimwambie mama si ndivyo
Ehee ndioAmekushikia akili?
Mwambie hutaki asikuharibie maisha maana ni juzi tuu matokeo yametoka na umefaulu mtihani wa kidato cha sita kwa kupata alama C,C,C kwenye masomo yako na unatafuta chuo cha kwenda kusoma hivyo akusubiri angalau ufikisha maliza chuo au ukifikisha miaka 24.Eti ngoja niende kwa mada huyu hausigel wetu ananilazimisha tudoo mimi nimemwambia sitaki kila siku anakuja chumbani kwangu hadi anakera...msaada nifanyaje sasa au nimwambie mama si ndivyo
Mambo yanje ndo yapositiwe au sijakulazimisha kukometikama huna hisia mwambie mama yako Alafu mama ako mwenyewe ata kushangaa,kama unazo usipost mambo yandani humu.
Sawa mukuu nimekuelewaaaMwambie hutaki asikuharibie maisha maana ni juzi tuu matokeo yametoka na umefaulu mtihani wa kidato cha sita kwa kupata alama C,C,C kwenye masomo yako na unatafuta chuo cha kwenda kusoma hivyo akusubiri angalau ufikisha maliza chuo au ukifikisha miaka 24.
Ukimwambia hivyo hatokusumbua na atakuonea huruma.
Pole sana
Mimi sitaki hayo mambo mupaka nioweNUNUA CONDOM