Housegirl wa Rais Karume alivyoniokoa soko la Sabasaba Morogoro wakati tunatoka Malawi. Dada, barikiwa popote ulipo - uliniokoa

Vijan
Vijana wengi wavivu wajanjawajanja kwao CV kubwa ni kuishi dar kwa wajomba .
pointi sana. nimesoma nao mikoani boarding school fulani hivi. yaani kuongea kiswahili kilichonyooka na jinsi wanajitapa na ‘kwetu moro’ basi unaweza kudhani morogoro ni bora kuliko dar es salaam. ila wanafeli sana darasani vilevile.
 
Alikuwa mnenenene mzanzibar,alikupeleka kwao sabasaba, mlitelemkia stendi ya zamani pale msamvu? Mwaka 2007/8 na kwao unapajua?
 
pointi sana. nimesoma nao mikoani boarding school fulani hivi. yaani kuongea kiswahili kilichonyooka na jinsi wanajitapa na ‘kwetu moro’ basi unaweza kudhani morogoro ni bora kuliko dar es salaam. ila wanafeli sana darasani vilevile.
Naongezea hapo,
Ukiwa nao boarding school wanajifanya kwao mambo safi, na hakika utaamini kwa [emoji817], the way wanavyoongea kuvaa na tabia kwa ujumla, likizo fupi moja nikaenda kwa mshkaji wangu mmoja Moro, Daah! Nyumba ya mbavu za mbwa! Sikuwahi kunywa chai hadi tunarudi school.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna memba alisema mpaka Corona iishe mtasema mengi
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ilinitokea hii kitu shuleni secondary Mchanganyiko. Nipo form 2 kuna demu alikua ananielewa sana. Discussion nipo nae, break nipo nae, muda wa kusepa nipo nae. Anawaacha marafiki zake wa kike anakuja kwangu muda wote.

Sasa mabaharia wakaniambia oya unakula iyo pisi? Nikasema hapana ni friends tu. Wajamaa wakanipump wakasema ww uyo demu anakupenda sema anaogopa kukuambia, wewe muandikie barua unampenda.

Nikajaa upepo. Nikaenda nunua makaratasi flani ya barua yana maua kwa background. Nikaandika sound. Dah. Demu alimaind sana. Anasema alikua ananichukulia kama kaka yangu. Yaani alimaind. Nikazuga I was joking ila wapi. Demu hakuamini.

Urafiki ukaendelea ila sio kama zamani. Ambavyo tulikua tunaongea kila kitu nilikua free ila duh nikawa naona aibu tu hadi nikahama shule.
 
Sitamsahau yule dada nataka nimlipe fadhila ila pia alikuwa mzuri sana na hakujiskia alikuwa na HIPSI laini sana nenenene alikuwa Mzanzibar pia.
Sasa wewe bazazi huo ulaini wa hips zake uliujuaje?

"corona ipo tuchukue tahadhari"
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Am laughing like a crazy man hhh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Teh hiyo aibu kudadeki
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…