Housegirl wa Rais Karume alivyoniokoa soko la Sabasaba Morogoro wakati tunatoka Malawi. Dada, barikiwa popote ulipo - uliniokoa

WEMA HAUOZI
 
Umesema ukweli mtupu. Niseme ni tabia ya wanaume karibu wote wa Bongo hasa wale ambao hawajaishi na wazungu. Mimi siku za kwanza kwanza kuishi majuu nilikuwa na huu ushamba sana tu. Lakini nashukuru mimi si mtu wa papara hivyo nilikuwa sikimbilii kuanzisha ku-approach. Unajua wanawake wa kizungu, au niseme wa nchi zilizoendelea ukiwa unafanya kazi sehemu moja naye na akishakuzoea, wewe ni mchapa kazi utaweza kufikiria anakutaka sana kimapenzi ila anaogopa kukuambia. Wao hata kukugonga gonga mgongoni au au kufanya mambo ambayo Bongo ni wapenzi tu wanaoweza kufanya wanaweza. Ila ole wako uanzishe mambo ya mapenzi au sex, utashangaa atakavyobadilika. Labda awe alikuwa anakupenda kimapenzi kiukweli na mara nyingi kama anakupenda huwa haoni aibu kukuambia.
 
Nilidhani ni yule daktari wa meno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu Uzi mbona mmewakazia watani zangu wa Moro?eti ujanjajanja mwingi,wanaishi kwa shemeji dar,wezi wa flat screen wanauza Dom,duuh!!
 
Huu Uzi mbona mmewakazia watani zangu wa Moro?eti ujanjajanja mwingi,wanaishi kwa shemeji dar,wezi wa flat screen wanauza Dom,duuh!!
Afande Sele anawatungia mashairi
 
House girl wa Rais ni Rais tu, angerudi ndani ya Bus, akakoroma kwa Karume, ''Baba! mimi zuhura nimefika Moro! ila Baba nimezingirwa na wahuni Msamvu'', wee! ungeona Defender zinavyo miminika hapo Stand. kungebaki kweupeee!

Wewe domo zege bure kabisa, Badala ya kurudi kwao utoe shukrani! wakujue, eti unaendelea na safari ya Mazoo? una akili kweli?
 
Du mda mrefu kweli, imekuaje umemkumbuka mwaka huu 2020!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…