Housegirl wa Rais Karume alivyoniokoa soko la Sabasaba Morogoro wakati tunatoka Malawi. Dada, barikiwa popote ulipo - uliniokoa

Duniani bado kuna watu wema. Nakumbuka Housegirl wa mh Rais Karume tulipanda basi toka Malawi. Miaka ya 2007/8. Nilimpigisha Sana story njiani mpaka akafurahi sana.

Tulipofika Msamvu usiku kabla stend mpya haijajengwa wakaja wahuni wengi including vibaka. Yule dada kwa kutambua hatari iliyokuwa inanikabili akaniambia twende nyumbani hapa siyo salama. Akakodi taxi tukaenda mpaka kwao maeneo ya soko la mitumba la Sabasaba.

Tulipofika hapo ikakonekana Mimi itakuwa ngumu kulala pale kwao na mbaya zaidi ilikuwa saa nane usiku na wahuni walikuwa wengi sana maeneo yale.

Yule dada akampa dreva tax hela na akamuambia anipeleke guest salama na nikipatwa na tatizo yeye dreva tax atawajibika na alichukua namba yake akahakikisha anaipiga inaita.

Nilipewa hela ya guest pia na yule dada. Dreva taxi akanipeleka guest moja nzuri karibu na soko kubwa mjini Morogoro. Kesho yake nikaendelea na safari ya kwenda Mwanza.

Naomba wewe dada kama ni memba humu tuwasiliane, ulinisaidia mnooo.

Tulikaa siti ya nyuma kabisa ya basi na Wamalawi. Na katika maongezi yetu tuliwafunika Mambo mengi kuanzia exposure mpaka lugha ya Kiingereza.

Mungu mbariki dada yule na familia ya mzee Karume.
WEMA HAUOZI
 
Hili ndo tatizo la watanzania,Kuna MTU mmoja nae alipataga kituko kama chako,sema yeye ni kutoka kwa boss wake,ilikuwa hivi ,huyu jamaa alikuwa anafanya kazi sehemu kama janitor ,sasa kwenye ile nyumba akapatikana mpangaji Wa kizungu ni mdada,yule mzungu akatokea kuiva sana na yule janitor (kijana Wa Usafi) sasa yule kijana maskini akahisi yule mzungu amekolea kwake,akaja akaniomba ushauri kuwa boss wake inavyoonyesha amempenda ila anashindwa tu kumwambia, nikamwambia asubiri kwani wazungu kumpenda MTU kwao si ajabu na kama itakuwa kimapenzi atamwambia tu,jamaa akaniambia Mimi sielewi ndo maana namwambia hivyo akasema hadi soda wanapokezana then Mimi nasema asubiri!akaachana na Mimi akaenda kuomba ushauri kwa fundi mmoja hivi na yule Fundi nae sijui vipi lakini,akamwambia Huyo kakupenda wala haina shaka na wala haiitaji kuuliza,jamaa kutoka pale akaenda dukani akanunua jinzi la kike na card ya mapenzi akampelekea mzungu,mzungu akaipokea huku akishangaa sana , alipomaliza kuisoma akaanza kulia na kukimbia ndani,akampigia mwenye nyumba simu ili aje amuondoe yule kijana pale,alihofia anaweza bakwa,maana jamaa hana akili,utamtongaje anayekulipa mshahara huo ni uchizi

Sent using Jamii Forums mobile app
Umesema ukweli mtupu. Niseme ni tabia ya wanaume karibu wote wa Bongo hasa wale ambao hawajaishi na wazungu. Mimi siku za kwanza kwanza kuishi majuu nilikuwa na huu ushamba sana tu. Lakini nashukuru mimi si mtu wa papara hivyo nilikuwa sikimbilii kuanzisha ku-approach. Unajua wanawake wa kizungu, au niseme wa nchi zilizoendelea ukiwa unafanya kazi sehemu moja naye na akishakuzoea, wewe ni mchapa kazi utaweza kufikiria anakutaka sana kimapenzi ila anaogopa kukuambia. Wao hata kukugonga gonga mgongoni au au kufanya mambo ambayo Bongo ni wapenzi tu wanaoweza kufanya wanaweza. Ila ole wako uanzishe mambo ya mapenzi au sex, utashangaa atakavyobadilika. Labda awe alikuwa anakupenda kimapenzi kiukweli na mara nyingi kama anakupenda huwa haoni aibu kukuambia.
 
Duniani bado kuna watu wema. Nakumbuka Housegirl wa mh Rais Karume tulipanda basi toka Malawi. Miaka ya 2007/8. Nilimpigisha Sana story njiani mpaka akafurahi sana.

Tulipofika Msamvu usiku kabla stend mpya haijajengwa wakaja wahuni wengi including vibaka. Yule dada kwa kutambua hatari iliyokuwa inanikabili akaniambia twende nyumbani hapa siyo salama. Akakodi taxi tukaenda mpaka kwao maeneo ya soko la mitumba la Sabasaba.

Tulipofika hapo ikakonekana Mimi itakuwa ngumu kulala pale kwao na mbaya zaidi ilikuwa saa nane usiku na wahuni walikuwa wengi sana maeneo yale.

Yule dada akampa dreva tax hela na akamuambia anipeleke guest salama na nikipatwa na tatizo yeye dreva tax atawajibika na alichukua namba yake akahakikisha anaipiga inaita.

Nilipewa hela ya guest pia na yule dada. Dreva taxi akanipeleka guest moja nzuri karibu na soko kubwa mjini Morogoro. Kesho yake nikaendelea na safari ya kwenda Mwanza.

Naomba wewe dada kama ni memba humu tuwasiliane, ulinisaidia mnooo.

Tulikaa siti ya nyuma kabisa ya basi na Wamalawi. Na katika maongezi yetu tuliwafunika Mambo mengi kuanzia exposure mpaka lugha ya Kiingereza.

Mungu mbariki dada yule na familia ya mzee Karume.
Nilidhani ni yule daktari wa meno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu Uzi mbona mmewakazia watani zangu wa Moro?eti ujanjajanja mwingi,wanaishi kwa shemeji dar,wezi wa flat screen wanauza Dom,duuh!!
 
Afande Sele anawatungia mashairi
 
House girl wa Rais ni Rais tu, angerudi ndani ya Bus, akakoroma kwa Karume, ''Baba! mimi zuhura nimefika Moro! ila Baba nimezingirwa na wahuni Msamvu'', wee! ungeona Defender zinavyo miminika hapo Stand. kungebaki kweupeee!

Wewe domo zege bure kabisa, Badala ya kurudi kwao utoe shukrani! wakujue, eti unaendelea na safari ya Mazoo? una akili kweli?
 
Duniani bado kuna watu wema. Nakumbuka Housegirl wa mh Rais Karume tulipanda basi toka Malawi. Miaka ya 2007/8. Nilimpigisha Sana story njiani mpaka akafurahi sana.

Tulipofika Msamvu usiku kabla stend mpya haijajengwa wakaja wahuni wengi including vibaka. Yule dada kwa kutambua hatari iliyokuwa inanikabili akaniambia twende nyumbani hapa siyo salama. Akakodi taxi tukaenda mpaka kwao maeneo ya soko la mitumba la Sabasaba.

Tulipofika hapo ikakonekana Mimi itakuwa ngumu kulala pale kwao na mbaya zaidi ilikuwa saa nane usiku na wahuni walikuwa wengi sana maeneo yale.

Yule dada akampa dreva tax hela na akamuambia anipeleke guest salama na nikipatwa na tatizo yeye dreva tax atawajibika na alichukua namba yake akahakikisha anaipiga inaita.

Nilipewa hela ya guest pia na yule dada. Dreva taxi akanipeleka guest moja nzuri karibu na soko kubwa mjini Morogoro. Kesho yake nikaendelea na safari ya kwenda Mwanza.

Naomba wewe dada kama ni memba humu tuwasiliane, ulinisaidia mnooo.

Tulikaa siti ya nyuma kabisa ya basi na Wamalawi. Na katika maongezi yetu tuliwafunika Mambo mengi kuanzia exposure mpaka lugha ya Kiingereza.

Mungu mbariki dada yule na familia ya mzee Karume.
Du mda mrefu kweli, imekuaje umemkumbuka mwaka huu 2020!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom