Ni Urusi ndio yuko nyuma ya ilo la ayo makomboraWameyapata wapi? Bila shaka IRAN
Unajua hata cluster bombs ni nini!?Yale yale tunayowaambiga, kwa hiyo kwa akili yako Houth ndo wanaweza kutumia hizo misile ambazo zimeonyesha udhaifu mkubwa huko Ukraine? Kwani US, Israel hana? Wakianza kutandikwa na cluster bombs msije kulia tena ceasefire, ceasefire, ceasefire, Israel alishasema vita itaisha endapo hamas wataachiwa mateka na kusalimu amri , wao hawasikillizi kelele za ceasefire huko nchi iko vitani, taratibu za ceasefire ni kunyosha mikono na kuomba mazungumzo ya amani yafanyike kwa pande zote 2. Siyo ceasefire huko unasema Israel iondoke mashariki ya kati.
Najua vizuri sana, hyoersonic missile ya Russia hata USA, Israel wanazo lakini hawaziiti hypersonic ni missiles zenye speed kali, Rusia alizitumia lakini zikawa zinadakwa huko Ukraine hata Rusia wenyewe walishuka na kumuuliza mtaalamu aliyetengeneza hayo makombora, kwa sababu bomu la hypersonic huwa halidakwi. Kwa hiyo matarajio yenu ni houth kuiangusha Israel au USA?Unajua hata cluster bombs ni nini!?
Huyo ni my Ukraine wa Buza ndugu🤔Unajua hata cluster bombs ni nini!?
Swali langu lilikua cluster bombs,ikiwa unazijua,hypersonic ni mjadala mwingine,yaani urusi waweke silaha kwenye ghala lao bila kujua nguvu na udhaifu wake!!Najua vizuri sana, hyoersonic missile ya Russia hata USA, Israel wanazo lakini hawaziiti hypersonic ni missiles zenye speed kali, Rusia alizitumia lakini zikawa zinadakwa huko Ukraine hata Rusia wenyewe walishuka na kumuuliza mtaalamu aliyetengeneza hayo makombora, kwa sababu bomu la hypersonic huwa halidakwi. Kwa hiyo matarajio yenu ni houth kuiangusha Israel au USA?
Huu uongo umeupata wapi?Najua vizuri sana, hyoersonic missile ya Russia hata USA, Israel wanazo lakini hawaziiti hypersonic ni missiles zenye speed kali, Rusia alizitumia lakini zikawa zinadakwa huko Ukraine hata Rusia wenyewe walishuka na kumuuliza mtaalamu aliyetengeneza hayo makombora, kwa sababu bomu la hypersonic huwa halidakwi. Kwa hiyo matarajio yenu ni houth kuiangusha Israel au USA?
baadae msianze tia huruma watu wakiangusha kama yale ya Nagashak , mnawapeleka huko , ukimya wao msiudharau , MUWE MNASTUANA MUDA MWINGINE BADALA YA KUSHANGILIA MATATIZO , UNAPOTUMIA NGUVU KUBWA DHIDI YA MKUBWA BASI TAMBUA ATAONGEZA PIA NGUVU DHIDI YAKOSasa ndio Israel na Marekani watatia akili
nini mada yako?Unajua hata cluster bombs ni nini!?
huu uvumilivu huwa mnautoa wap ? mbona huku kwenu mmeshindwa hata jipa muda kuendesha bandari yenu ? hv hukuona kuwa yalitumika Ukraine ?Huyo ni my Ukraine wa Buza ndugu[emoji848]
kwahiyo unajitoa ufahamu kuwa zilitumika ndani ya weak Ukraine , je zilibadili nini ?Swali langu lilikua cluster bombs,ikiwa unazijua,hypersonic ni mjadala mwingine,yaani urusi waweke silaha kwenye ghala lao bila kujua nguvu na udhaifu wake!!
subir tu si unahis USA ni kama hizo serikali za kijamaa zinazopenda kupika data , silaha ukiisikia kwenye media ni tofauti na uhalisiaHuu uongo umeupata wapi?
Ni lini USA akawa na hypersonic missile?
Walifanya test mwaka Jana wakafeli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Speed Kali kwani Cruise Missile Haina speed?
Huko ni huko na mtoa report yupo buza tena sii tu Buza ila kwa mabaharia wa Buza 😃ya huko anayasimulia,huoni kamba hizo😁huu uvumilivu huwa mnautoa wap ? mbona huku kwenu mmeshindwa hata jipa muda kuendesha bandari yenu ? hv hukuona kuwa yalitumika Ukraine ?
Tofauti yake ni nini?subir tu si unahis USA ni kama hizo serikali za kijamaa zinazopenda kupika data , silaha ukiisikia kwenye media ni tofauti na uhalisia
Wawe nalo ungekuta washalirusha IsraelTakriban wiki tatu zimepita tangu wanamgambo wa Houth watangaze wanakusudia kutoa habari ya kushtua nyoyo.
Habari hiyo haikufahamika hata pale nyaya mbili za data za intaneti za chini ya bahari ziliponyofolewa ambapo wanamgambo hao hawakutoa taarifa yoyote ya kuhusika kwao kama wanavyofanya kila siku pindi wanapozilenga meli zinazopita bahari nyekundu
Hatimae shirika la habari la Urusi ,Novost limetangaza kuwa wanazo taarifa kuwa wanamgambo wa Houth wanamiliki makombora hatari ya hypersonic kwenye hazina ya silaha zao.
Report claims Yemen's Houthis have a hypersonic missile, possibly raising stakes in Red Sea crisis
Sijitoi ufahamu kwamba zilitumika,nakushangaa kusema urusi alitumia akaona za kijinga akaenda kumuuliza mtengenezaji,yaani hapo upeo wako ni kwamba silaha zinatengenezwa Kama mashine ya kukamulia juisi ya miwakwahiyo unajitoa ufahamu kuwa zilitumika ndani ya weak Ukraine , je zilibadili nini ?