Houth waanza kumiliki makombora ya Hypersonic

Houth waanza kumiliki makombora ya Hypersonic

Wawe nalo ungekuta washalirusha Israel
Naamini walikuwa wanayafunga na kumalizia mafunzo jinsi ya kurusha.
Muda si mrefu meli ya kivita za US zitaonja joto la jiwe.
Na kwa kweli Marekani wameshanusa hatari na fedheha iliyo mbele yao.
Wameshaanza kuodosha meli zao muhimu za kijeshi kutoka Mediteranean na red sea.
 
Najua vizuri sana, hyoersonic missile ya Russia hata USA, Israel wanazo lakini hawaziiti hypersonic ni missiles zenye speed kali, Rusia alizitumia lakini zikawa zinadakwa huko Ukraine hata Rusia wenyewe walishuka na kumuuliza mtaalamu aliyetengeneza hayo makombora, kwa sababu bomu la hypersonic huwa halidakwi. Kwa hiyo matarajio yenu ni houth kuiangusha Israel au USA?
Jaribio la mwisho la US ktk hypersonic lilifeli mkuu.

Correct me if i am wrong
 
Houthis wanaposhambulia meli za biashara wanamkomesha nani? Majuzi waludungua meli iliyokuwa inasafirisha bidha kutoka China kwenda Saudi Arabia
 
Atayajulia wapi? Yeye ameandika tu. Hao ndiyo wanaandika matusi kwenye mitahani ya form 4
 
Najua vizuri sana, hyoersonic missile ya Russia hata USA, Israel wanazo lakini hawaziiti hypersonic ni missiles zenye speed kali, Rusia alizitumia lakini zikawa zinadakwa huko Ukraine hata Rusia wenyewe walishuka na kumuuliza mtaalamu aliyetengeneza hayo makombora, kwa sababu bomu la hypersonic huwa halidakwi. Kwa hiyo matarajio yenu ni houth kuiangusha Israel au USA?
Yaani wewe ni m'mbeya na mwongo yaani mambo ya kwenye vigodoro na singeli ndo umeleta huku? Haya mambo huyajui na hata Khadija Kopa anakuzidi mbali mno Kwa taarifa Yako Hypersonic Missiles zinamilikiwa na URUSI peke yake Dunia nzima na hayupo mwenye uwezo wa kulidungua pitia vizuri taarifa zako. Eti walimuuliza mtengenezaji kwamba mbona hayafanyi vizuri hapa umeonesha kuwa wewe ni kichaa kabisa kama siyo ubongo wa panzi umeanza kujitutumua kuongelea usiyoyajua.

Kwamba hypersonic haikufanya vizuri kwenye vita Ukraine hata NATO watakugomea maana walioyaona kule wanayajua vizur na ndiyo yaliyosambaratisha mfumo wa ulinzi wa anga wa marekani uitwao Technical High Altitude Aerial Defence System (THAAD)
 
Swali langu lilikua cluster bombs,ikiwa unazijua,hypersonic ni mjadala mwingine,yaani urusi waweke silaha kwenye ghala lao bila kujuaa nguvu na udhaifu wake!!
Hao wanauza silaha popote duniani kwa bei ya kutupa.
Silaha zao ni yale ya zamani hawatumii.
Kalachnikov dola 100 tu unaletewa
 
Israeli yupo busy kudhibiti ugaidi na kuangalia usalama wake.
 
Houthis wanaposhambulia meli za biashara wanamkomesha nani? Majuzi waludungua meli iliyokuwa inasafirisha bidha kutoka China kwenda Saudi Arabia
Makusudio yao ni Israel.Marekani na Uiengereza.
 
Najua vizuri sana, hyoersonic missile ya Russia hata USA, Israel wanazo lakini hawaziiti hypersonic ni missiles zenye speed kali, Rusia alizitumia lakini zikawa zinadakwa huko Ukraine hata Rusia wenyewe walishuka na kumuuliza mtaalamu aliyetengeneza hayo makombora, kwa sababu bomu la hypersonic huwa halidakwi. Kwa hiyo matarajio yenu ni houth kuiangusha Israel au USA?
Hawa watu ushabiki unaweza kuwa umewatia ujinga, kumiliki hiyo ndo kushinda vita? Hadi muda huu kinachotafutwa ni uhalali wa kuipiga Yemen. Hizo bandari za misaada huko gaza , wajinga hawajui ajenda yzke.
 
Takriban wiki tatu zimepita tangu wanamgambo wa Houth watangaze wanakusudia kutoa habari ya kushtua nyoyo.

Habari hiyo haikufahamika hata pale nyaya mbili za data za intaneti za chini ya bahari ziliponyofolewa ambapo wanamgambo hao hawakutoa taarifa yoyote ya kuhusika kwao kama wanavyofanya kila siku pindi wanapozilenga meli zinazopita bahari nyekundu

Hatimae shirika la habari la Urusi ,Novost limetangaza kuwa wanazo taarifa kuwa wanamgambo wa Houth wanamiliki makombora hatari ya hypersonic kwenye hazina ya silaha zao.

Report claims Yemen's Houthis have a hypersonic missile, possibly raising stakes in Red Sea crisis​

Vip umehama Gaza? Hamas bado wanaendeleza kichapo
 
Tofauti yake ni nini?

Kwamba kwenye media Italia kaboom ila uhalisia italia kapati!

Ninyi ndio wale mnaoamini kwenye ubora wa western weapons kama propaganda zao zinavyosema.
off point
 
Sijitoi ufahamu kwamba zilitumika,nakushangaa kusema urusi alitumia akaona za kijinga akaenda kumuuliza mtengenezaji,yaani hapo upeo wako ni kwamba silaha zinatengenezwa Kama mashine ya kukamulia juisi ya miwa
angalia unachokijibu na nlichoandika vinaendana , mbona reply yangu unaiongezea maneno ?
 
Back
Top Bottom