Atacms
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 4,884
- 8,924
Shika adabu yako we matterCall kiazi bibi yakoWote nyie viazi tu! Kwamba urusi anajua atakuwa na urafiki wa milele na hao houth mpaka awape latest technology yake?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shika adabu yako we matterCall kiazi bibi yakoWote nyie viazi tu! Kwamba urusi anajua atakuwa na urafiki wa milele na hao houth mpaka awape latest technology yake?
Yaani wewe ni kiazi grade one kabisa.....baada ya Alwiz nadhani unafuata wewe😃Shika adabu yako we matterCall kiazi bibi yako
Najua vizuri sana, hyoersonic missile ya Russia hata USA, Israel wanazo lakini hawaziiti hypersonic ni missiles zenye speed kali, Rusia alizitumia lakini zikawa zinadakwa huko Ukraine hata Rusia wenyewe walishuka na kumuuliza mtaalamu aliyetengeneza hayo makombora, kwa sababu bomu la hypersonic huwa halidakwi. Kwa hiyo matarajio yenu ni houth kuiangusha Israel au USA?