Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Marekani mara ngapi wanaficha aibu zao.Walisema hivyo hivyo kule Iraq kambi yao iliposhambuliwa na kuuliwa askari kadhaa.Hakuna ushahidi wa wao Magaidi wa Houthi kufanikisha shambulio kwenye Manowari ya Kimarekani.
Juzi juzi Kambi ya Wamarekani ilishambuliwa huko Jordan na Wanajeshi wake kuuwawa na alitangaza kwenye kila TV na kila Gazeti.Kwani Marekani mara ngapi wanaficha aibu zao.Walisema hivyo hivyo kule Iraq kambi yao iliposhambuliwa na kuuliwa askari kadhaa.
Baada ya muda wakaamua kuondoka kimy kimya.
Uwezekano wa kupigwa meli upo sana hata kama hilo kombora halina uwezo wa kuizamisha.