Ndio unakuta Wayahudi na Waarabu ni WamojaRamani nani aliyechora.
Ndivyo mayahudi wanavyowadanganya
Hiyo itakuwa ramani ya Mchungaji wako asiye na Elimu wala historia ya dunia. Hiyo Saudi Arabia tangu lini imekuwa sehemu ya Wayahudi?Kwenye ramani ya asili Saudi Arabia ni eneo la Wayahudi
enzi zile zimepita.Marekani sasa anaogopa Houth,Taliban na HizbullahMarekani kukosa kiongozi imara mithili ya Ronald Reagan, Richard Nixon au George Bush (Jr) ndio maana bado hao magaidi wa Houthi wanapumua hadi sasa.
Jihadists mnashangaza sana, akiwatandika ili kuwaondoa nyie tena ndio mnakuwa wa kwanza kulalamika na kusema Death to America..!! Akiwaacha tena mnakuwa wa kwanza kusema oh ameisha na hana nguvu.A.Marekani sasa anaogopa Houth,Taliban na Hizbullah
Ameshindwa kumng'oa Bashar AL Asad,Nicholas Maduro,Kim jONG Un na wengine wengi.Anawaangalia tu na kuwabwekea.
Houth ni mwiba zaidi kwa America kuliko hata Bashar Al Assad kwa sababu wamekalia eneo muhimu na wana nia ya kulilinda.
Kabla ya mwaka 1948 Yemen Ndio ilikuwa nchi yenye wayahudi wengi Mashariki ya Kati.Hiyo itakuwa ramani ya Mchungaji wako asiye na Elimu wala historia ya dunia. Hiyo Saudi Arabia tangu lini imekuwa sehemu ya Wayahudi?
Udini ni janga kwa wa-Afrika.
Soma Historia, usikaririshwe na Mchungaji Mbumbumbu. Mtume kuongea habari ya uwepo wa Wayahudi Saudia Arabia nini unakiona cha ajabu. Mtume amekuja miaka miaka 600 baada ya Yesu. Mwaka wa 70 baada Kristo Jenerali Tito wa Dola ya Rumi aliliteka Yerusalemu na kuingamiza Hekalu la Sulemani. Na Sheria ikatungwa kwamba Wayahudi hawaruhusiwi kuwepo eneo lote lililokuwa ya Ufalme wa Israel na jina la Israel likabadilishwa na kuitwa Palestine. Hivyo, wayahudu walitawanyika kila uelekeo wa dunia ikiwemo YEMEN na SAUDIA maana ndo maeneo ya karibu zaidi na kwao ili kujinusuru na maangamizi wa Dola ya Rumi. Wayahudi walifika hadi Hispania na Ethiopia. Hivyo, kuwa na Wayahudi pale Saudi Arabia isikushangaze ukizingatia pale ni kwa ndugu yao Ismail.Kabla ya mwaka 1948 Yemen Ndio ilikuwa nchi yenye wayahudi wengi Mashariki ya Kati.
Wayahudi walikuwa na nchi/kingdom aneo la Saudi Arabia ya Leo, Ndio maana kwenye mafundisho ya Waislam mtume wao alikuwa anazungumzia sana kuhusu Wayahudi wa Hejaz
According to Al-Masudi the northern part of Hejaz was a dependency of ancient Israel and according to Butrus al-Bustani the Jews in Hejaz established a sovereign state. The German orientalist Ferdinand Wüstenfeld believed that the Jews established a state in northern Hejaz.Soma Historia, usikaririshwe na Mchungaji Mbumbumbu. Mtume kuongea habari ya uwepo wa Wayahudi Saudia Arabia nini unakiona cha ajabu. Mtume amekuja miaka miaka 600 baada ya Yesu. Mwaka wa 70 baada Kristo Jenerali Tito wa Dola ya Rumi aliliteka Yerusalemu na kuingamiza Hekalu la Sulemani. Na Sheria ikatungwa kwamba Wayahudi hawaruhusiwi kuwepo eneo lote lililokuwa ya Ufalme wa Israel na jina la Israel likabadilishwa na kuitwa Palestine. Hivyo, wayahudu walitawanyika kila uelekeo wa dunia ikiwemo YEMEN na SAUDIA maana ndo maeneo ya karibu zaidi na kwao ili kujinusuru na maangamizi wa Dola ya Rumi. Wayahudi walifika hadi Hispania na Ethiopia. Hivyo,
Kumbe umekubali kuwa walikuwepo tu.Na haijawahi kukanushwa na waislamu.Kabla ya mwaka 1948 Yemen Ndio ilikuwa nchi yenye wayahudi wengi Mashariki ya Kati.
Wayahudi walikuwa na nchi/kingdom aneo la Saudi Arabia ya Leo, Ndio maana kwenye mafundisho ya Waislam mtume wao alikuwa anazungumzia sana kuhusu Wayahudi wa Hejaz
kwani dunia mabara,mito,milima mabonde na visiwa vilichora ? ndo wewe unaona hiki ni kajimbio unauliza ni kijambio tenaRamani nani aliyechora.
Ndivyo mayahudi wanavyowadanganya
basi msaudia arabia kausha!!Ramani nani aliyechora.
Ndivyo mayahudi wanavyowadanganya
Yes ni kama zaman tulikuwa tunajua eti nchi inayojua mpira ni Brazil pekee yake ..hivyo hivyo vitu alivyotsngulia kumiliki usa na nato yake kila nchi sasa inauwezo wa kuwa navyo amna maajabuenzi zile zimepita.Marekani sasa anaogopa Houth,Taliban na Hizbullah
Ameshindwa kumng'oa Bashar AL Asad,Nicholas Maduro,Kim jONG Un na wengine wengi.Anawaangalia tu na kuwabwekea.
Houth ni mwiba zaidi kwa America kuliko hata Bashar Al Assad kwa sababu wamekalia eneo muhimu na wana nia ya kulilinda.