Kafiri Marekani wapi na wapi na kuupenda uislam. Na vifaa angalimpa Hauth airupue saudiaSasa mbona umeandika kama vile umekatwa kichawi?
Waislamu haiwaishambulii sana Saudia si kwa sababu ya ulinzi wa Marekani bali ni kwa sababu wanapaheshimu tu japo utawala hawaukubali.Hawa Houthi wana historia ya kulipua mabomu Saudi Arabia na hiyo ni mojawapo wa sababu kuu inafanya iwe vigumu kuwapiga.
Ifahamike Marekani huilinda sana Saudi, isingekua kwa Marekani pale Saudi pangekua majivu, sijui hata wafuasi wa ile dini wangekua wanaenda wapi kupiga shetani mawe.
Hapa video ya mojawapo wa matukio ya wao kulipua Saudi Arabia
View: https://www.youtube.com/watch?v=oPqLtbQeJj4
Mkuu habari hii haina uhusiano nakinachoendelea Gaza, HAMAS Jana wametangaza kuanza phase 2, pia Assad anasogeza vikosi vyake karibu na Golan, huku Hizb akizidisha mashambulizi nakupiga minara ya mawasiliano ya kijeshi iliyopo ndani ya Israel, huku pantstair S,ya urusi ikitungua missile Zaid ya 10 jana zilizopogwa na Israel kuelekea Siria.
Kula mtoriii nyama zipo chinii.
kuua watoto na raia wasio wanajeshi hata MUNGIKI wanaweza kufanya hivyo, hata kuua raia elfu 20 Kwa siku. Suala nimalengo kama nikuua raia basi kayakamilisha lakini kama nikuua HAMAS basi aendelee kupambana.Kwanza hamna sehemu nimetaja Gaza, naongea kuhusu kinachowapa jeuri Houthi ni kwamba kila wakitishwa hulipua mabomu ile nchi nyie huenda kupiga shetani mawe.
Na kuhusu Gaza, wala hamna la kuongea maana inazidi kufanywa majivu, vifo vya mazombi yenu vinachezea sasa 21,600
Yaani pale hamna kitu tena
kuua watoto na raia wasio wanajeshi hata MUNGIKI wanaweza kufanya hivyo, hata kuua raia elfu 20 Kwa siku. Suala nimalengo kama nikuua raia basi kayakamilisha lakini kama nikuua HAMAS basi aendelee kupambana.
Mr uharo na ule muungano wa Marekani na mataifa 20 uliotuambia ukaleta na uzi wake ulikuwa usanii?Hawa Houthi wana historia ya kulipua mabomu Saudi Arabia na hiyo ni mojawapo wa sababu kuu inafanya iwe vigumu kuwapiga.
Ifahamike Marekani huilinda sana Saudi, isingekua kwa Marekani pale Saudi pangekua majivu, sijui hata wafuasi wa ile dini wangekua wanaenda wapi kupiga shetani mawe.
Hapa video ya mojawapo wa matukio ya wao kulipua Saudi Arabia
View: https://www.youtube.com/watch?v=oPqLtbQeJj4
Watoto zaidi ya 1000 waliouawa wte wale ni Hamas....mbona mnajitoa akili sana...chuki za kiimani zinafanya mnaandika ujinga wwte unaowajia vichwani...hao wana special wa mungu wangekuwa wanadunda Hamas na kuweka records kwamba tumeshaua idadi hii hakuna ambaye angehangaika nao.....wanapigiwa kelele kwa sababu wanaua wasio na hatia....Mtanzania hyo mmoja ambaye inasemekana ameuawa na Hamas watu wte wamekuja juu kulaani kuuawa kwake kwasababu anaonekana hahusiki....sasa kwnn kuuawa hyo mtu mmoja ionekane ukatili lakini kuuawa watoto na wanawake wengi vile ionekane ni kawaida....ficheni upumbavu wenuMbona waislamu mnapenda kupigwa, maana Islael akipunguza mashambulizi au akishambulia kwa uangalifu ili kupunguza vifo vya raia mnasema hana lolote ameshindwa kuwamaliza Hamas🤣🤣🤣. Akiongeza makali kidogo mnapiga kelele anaua watu sana. Marekani akisogeza Meli za kivita tayari kwa mashambulizi mnapiga kelele stop genocide, akiziondoa tu mnasema Marekani ni muoga ameogopwa atapigwa vibaya na Hauthi mara Hamas🤣🤣🤣. Kiufupi nyie hampendi amani acha mbondwe mdogomdogo mtakuwa mnalia na kucheka hivohivo
Linakuja kusema eti Marekani haijaamua kuwapiga kwasababu ya Saudia....sababu za kipumbavu kabisa....kila likikaa linaangalia sababu yyte ya kuufanya uislamu uonekana ni kitu kibaya kwlikwli....na Mwenyezimungu ambavyo anamuumbua kila anachoshabikia kinashindwa...kule kwa Mkubwa Putin lilikuwa linatuletea habari za kubumba....sasahv kawa kimya kabisa....kahamia Gaza...nako huku atashindwa tu....Mr uharo na ule muungano wa Marekani na mataifa 20 uliotuambia ukaleta na uzi wake ulikuwa usanii?
Huyo punguani anasumbuliwa na chuki kali sana dhidi ya Uislam wamepita wengi sana kwenye hii dunia walikuwa wanachukia Uislam na kuwaua Waislam leo hii dini ya Uislam inazidi kupata wafuasi kila kona ya dunia.Linakuja kusema eti Marekani haijaamua kuwapiga kwasababu ya Saudia....sababu za kipumbavu kabisa....kila likikaa linaangalia sababu yyte ya kuufanya uislamu uonekana ni kitu kibaya kwlikwli....na Mwenyezimungu ambavyo anamuumbua kila anachoshabikia kinashindwa...kule kwa Mkubwa Putin lilikuwa linatuletea habari za kubumba....sasahv kawa kimya kabisa....kahamia Gaza...nako huku atashindwa tu....
Sasa mmarekani anashindwa kuilinda Saudia na kupiga kikundi cha wahuni houthi, hapo ukubwa wa marekanj uko wapi kama anakihofia kikundi cha wana mgambo!? Au kuna jingine zaidi ya hili?