makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Houthi walilipua visima kwa kujilipua au walikuwa wanazipiga kwa silaha!?Hauwezi kulinda Saudi dhidi ya hao Houth magaidi wa dini, maana wanachinganyikana humo humo na kujilipua, sio rahisi kujua yupi ndiye yupi.
Marekani huilinda Saudi dhidi ya kubwa la magaidi yaani Iran na mataifa mengine pia.