Houthi hawapigwi na Marekani kwa sababu walishatishia kulipua Saudi Arabia

Unasema Houthi wana historia ya kuishambulia Saudi Arabia,halafu hapo hapo unasema Saudi inalindwa sana na US,hivi wewe mungiki una akili iliyogeuzwa ndio maana hua unawaza kinyume nyuma? sasa inalindwaje sana ikiwa unakubali kua Houthi hua wanashambulia?

Hata Israel inategemea ulinzi wa US kuanzia silaha mpaka mifumo ya ulinzi ila inapigika hadi Tel Aviv na Hamas,
Dunia ilisha badilika,

Umekimbia kujadili vita ya Urusi na Ukraine ukakimbilia Gaza,huko napo umeanza kutafuta njia ya kutokea.
 
Houthi walilipua visima kwa kujilipua au walikuwa wanazipiga kwa silaha!?

Magaidi ya dini yenu huendana na namna yanafikiria yenyewe, kuna wakati yanajilipua au wakati mwingine yanalipua, huwa mna uzombi fulani hivi.
 
Hauwezi kulinda Saudi dhidi ya hao Houth magaidi wa dini, maana wanachinganyikana humo humo na kujilipua, sio rahisi kujua yupi ndiye yupi.
Marekani huilinda Saudi dhidi ya kubwa la magaidi yaani Iran na mataifa mengine pia.
Houthi kundi teule nilikua nakwambia zamani sana ewe mzayuni wa kutokea jf😎
 
Sasa hata wao wakiipiga Saudi wataenda hijja wapi.
Na uislam haukamiliki bila hijja
 
Hehee kule alikua anakula spana huku kaja anakutana na nondo
Yaani kila thread anayotia mguu bwana huyu na bwana yule wanakutana na kama sio spana basi nondo
 
Hao wanaundiwa kundi pinzani tu wanamalizna wenyewe sema Yemeni ni nchi masikini Haina raslimali za kurejesha gharama za vita
 
Aaaaaiiiseeee! Kwa hiyo phase 2 ni kwenda kuivamia tena Israel na kuifuta kabsa sio.?
 
Magaidi wameachwa wamevimba kichwa ujiona washindi wakianza kuwahishwa kuwahi bikira wanaanza lia lia
 
Tarehe 7 October Hamas alipishambulia Asrael hakuna watoto waliouawa? Hamas anaporusha makombora kwenda Israel hayo makombora yake Yana technolojia ya kuchambua watoto, askari na raia wa kawaida ili kutokuua qasiohusika? Naomba unijibu mkuu
 



Mashoga wenzako wanakuita

Is Tel Aviv the gay capital of the world?​


Tel Aviv Pride is among the biggest annual pride events in the world and as of 2019, it is the biggest in Asia.​

By JERUSALEM POST STAFF FEBRUARY 14, 2023 20:24
THE ANNUAL gay pride parade in Tel Aviv takes place, in June. There is a very real possibility that Tel Aviv as a gay capital of the world will soon become a thing of the past, says the writer. (photo credit: TOMER NEUBERG/FLASH90)
 
Tarehe 7 October Hamas alipishambulia Asrael hakuna watoto waliouawa? Hamas anaporusha makombora kwenda Israel hayo makombora yake Yana technolojia ya kuchambua watoto, askari na raia wa kawaida ili kutokuua qasiohusika? Naomba unijibu mkuu
Mtoto yupi aliuawa , tuwekee
 
Wacha ujinga wewe na unafiki Saud Arabia kapigana na hao Al Hout sababu ya America na alipokuwa anapigwa Saud Arabia hao America walifanya nini.

Punguzeni uwongo America atakimbia tu hapo Red Sea kama atabaki hapo labda hapigani na Yemen

Afu Myahudi anawatukana wakristo wote anasema acheni ujinga ukristo sio dini, afu nyie mnasema Israel ni taifa lenu Teule 😄

Msikilizeni tena kaongea kifaransa h😄 Anawambieni acheni ujinga Yesu si Mungu na pia anawambia hataki kuwadanganyeni kuwatakia mwaka mpya sababu atakuwa anawadanganyeni mtabaki na ujinga.


View: https://youtu.be/Hny7IEK71HU?si=EnSidOKGLcRJF9Sc
 

Nachukia mashoga, inapaswa waanze kusemwa kuanzia kwa huyu ambaye naye alifanya mauchafu sana
MTUME MUHAMMAD ALINYONYA ULIMI WA AL HASSAN Hadith Idadi 16,245:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…