Houthi kufanikiwa kuzamisha meli ya tatu kabla Vita vya Gaza kusitishwa

Houthi kufanikiwa kuzamisha meli ya tatu kabla Vita vya Gaza kusitishwa

Haya nikiwa simuwezi house girl wako ndio nakufa?

Au wewe ndio house girl mwenyewe kijana

Pole lakini inaonekana una msongo wa mawazo yaani koment yangu hapa imekutoa povu lote hili

Ila usijali kuanzia j5 unaweza ukawa hunioni kwa muda kama wa miezi miwili au mitatu au usionione sana nahisi utakaa sawa

Au ramba ndimu utakaa sawa
Kelele wewe,huko Ghaza mkeka unaendelea.
Nenda katawaze ukimaliza useme
 
Ila bado nchi yako maskini zaidi kuliko yemen 😀

Hata ulaya kuna nchi maskini zaidi pia kama hujui
Yemen ni nchi maskini kuliko Tanzania
Screenshot_20240824-122151_Chrome.jpg
 
Mabaharia nawao wangekufa ingependeza sana

Ili wengine wangeona hio njia haifai wakaacha kwenda

Kwani ule muungano uloundwa na Americant na shoga zake kuwazuia ulifia wapi 😀😀😀
US huwa ana mbwebwe sana hana lolote. Iran akiamua kuwapiga israel hawezi fanya lolote ni vitisho tu.
 
Back
Top Bottom