babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Kelele wewe,huko Ghaza mkeka unaendelea.Haya nikiwa simuwezi house girl wako ndio nakufa?
Au wewe ndio house girl mwenyewe kijana
Pole lakini inaonekana una msongo wa mawazo yaani koment yangu hapa imekutoa povu lote hili
Ila usijali kuanzia j5 unaweza ukawa hunioni kwa muda kama wa miezi miwili au mitatu au usionione sana nahisi utakaa sawa
Au ramba ndimu utakaa sawa
Nenda katawaze ukimaliza useme