son of a teacher
JF-Expert Member
- Jul 30, 2017
- 541
- 1,449
Mikono yetu ipo kwenye trigger na tupo tayari kwa mapambano kama Israel atasitisha makubaliano na kuamua kushambulia gaza-HOUTHI
HOUTHI wametoa msimamo huo mara baada ya Hamas kudai hawatoachia mateka siku ya jumamosi wakidai Israel wamekiuka na kuvunja makubaliano.
Hali kadhalika Waziri mkuu wa Israel siku ya jana amewataka IDF wakae tayari kuishambulia Gaza endapo Hamas hawatoachia mateka siku ya jumamosi.