njumu za kosovo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 3,820
- 9,625
Hakuna ambaye hana cha kupoteza ni msemo tu huo, hao Houth kuna kona wakiwekwa utasikia milio kama mbuzi mwenye joto ni suala la muda tu, yani Marikani ile seriously aamue kukaza fuvu Houth atoboe kweli?Houthi hawana cha kupoteza.
Imagine kikundi cha houth kilikua kinapigana na SAUDLI led coalitions inayosaidiwa intelligence na reconnaissance na USA na UK.
Lakini bado kimesavaivu asee