njumu za kosovo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 3,820
- 9,625
Hakuna ambaye hana cha kupoteza ni msemo tu huo, hao Houth kuna kona wakiwekwa utasikia milio kama mbuzi mwenye joto ni suala la muda tu, yani Marikani ile seriously aamue kukaza fuvu Houth atoboe kweli?Houthi hawana cha kupoteza.
Imagine kikundi cha houth kilikua kinapigana na SAUDLI led coalitions inayosaidiwa intelligence na reconnaissance na USA na UK.
Lakini bado kimesavaivu asee
Houthi hawana cha kupoteza.
Imagine kikundi cha houth kilikua kinapigana na SAUDLI led coalitions inayosaidiwa intelligence na reconnaissance na USA na UK.
Lakini bado kimesavaivu asee
Akaze mala ngapi ilo Fuvu wkt wa Vita vya miaka 5 kati ya Saudia na Yemen marekani alitumia kila njia ikiwemo Wanajesh Wake kupigana mojakwamoja mwisho Baadhi yao Walikamatwa Meteka na Yemen .Hakuna ambaye hana cha kupoteza ni msemo tu huo, hao Houth kuna kona wakiwekwa utasikia milio kama mbuzi mwenye joto ni suala la muda tu, yani Marikani ile seriously aamue kukaza fuvu Houth atoboe kweli?
Kama IDF MAGAID wa Marekani lkn GAZA inauzwa kwa DAMU sio makalatasi ya chooni yaliopakwa langi yakaitwa pesaHawa ni Magaidi wa Ayatolah waliobakia.
sisi hao HOUTHI hatuboi hatupoi...Mikono yetu ipo kwenye trigger na tupo tayari kwa mapambano kama Israel atasitisha makubaliano na kuamua kushambulia gaza-HOUTHI
HOUTHI wametoa msimamo huo mara baada ya Hamas kudai hawatoachia mateka siku ya jumamosi wakidai Israel wamekiuka na kuvunja makubaliano.
Hali kadhalika Waziri mkuu wa Israel siku ya jana amewataka IDF wakae tayari kuishambulia Gaza endapo Hamas hawatoachia mateka siku ya jumamosi.