Houthi waangukia pua dhidi ya kisasi kwa Israel- Kombora laangukia Saudia Arabia

Houthi waangukia pua dhidi ya kisasi kwa Israel- Kombora laangukia Saudia Arabia

Saudia inapakana na israel?
Kuna kisiwa anamiliki Israel kipo jirani kabisa na Saudia Arabia. and Kihistoria Medina ulikuwa mji wa Israel hata hilo jina ni la Kiyahudi Hebrew, Mecca pia waliishi Waisrael before Arabs Even Mtume wao kuna wakati ukorofi wake akapigwa wanted Mecca so akakimbilia kwa Wayahudi Medina baadae alipopata nguvu kwa msaada wa wayahudi hao hao akaja kuwageuka na kuwaua na walikimbia wakapigwa wanted wasije kanyaga tena Medina hadi leo hii Wayahudi hawaruhusiwi kukanyaga kwao..

Saudia Arabia ana miliki maeneo makubwa yaliyokuwa ya Waisrael.. so chuki kwa Waisrael ni kubwa sana wakisia neno Zion wanaogopa maana Waisrael wanatakiwa kurejea kwenye ardhi zao so kila nchi ya Kiarabu ina khofu Syria,Lebanon,Jordan,Saudia Arabia,Uturuki and Iraq Pia refer The Great Israel from the river to the sea.. kidini lazima ifafika hiyo siku.

1746661299368.png

Israel approves transfer of strategic Red Sea islands to Saudi Arabia​

Under the 1979 Egypt–Israel peace treaty, Egypt took control of Tiran and Sanafir as the sides agreed to demilitarize the islands

News Desk
JUL 15, 2022

1746661157655.png

1746661849459.png
 
View attachment 3327447

Israel approves transfer of strategic Red Sea islands to Saudi Arabia​

Under the 1979 Egypt–Israel peace treaty, Egypt took control of Tiran and Sanafir as the sides agreed to demilitarize the islands

News Desk
JUL 15, 2022

View attachment 3327446

View attachment 3327449
Asomaye na aelewe
 
Madina ni kiarabu, maana yake mji,acha uongo uongo,saudia haipakani na israel,na mtume hakukaribishwa na wayahudi Madina,madina na makkah ziliyni city States
 
Hakuna kitu kibaya kama Dhulma Israel wangechukua Eneo Lao wangewaachia Palestina Eneo lao basi hata mimi Ni Mkristo ila Dhulma ni mbaya Israel kukaa kwa Amani hilo asahau kabisa
Sasa hapo ukristo umeingiaje?
 
Flights resume at Sanaa airport, 11 days after Israeli strikes ‘completely disabled’ it​

Flight from Jordan lands at Yemen’s Houthi-controlled main airport only week-and-a-half after strike destroyed the terminal and six planes, and left craters on its runway​

Madina ni kiarabu, maana yake mji,acha uongo uongo,saudia haipakani na israel,na mtume hakukaribishwa na wayahudi Madina,madina na makkah ziliyni city States
Let proof me siwezi ku argue na stupid..

Wajinga wanajua Kiarabu ni Lugha asili hahaha almost kila kitu imeiba hata waarabu wenyewe maneno wengine tafsir wanauliza wenye lugha zao..
 
IDF ilitambua kombora lililorushwa kuelekea Israeli kutoka Yemen na magaidi wa Houthi ambalo liliangukia eneo la ardhi ya Saudi Arabia bila kudunguliwa siku ya Jumatano, kulingana na ripoti katika vyombo vya habari vya Israeli.

Siku ya Jumanne, Israeli ilifanya mashambulizi ya anga yaliyolenga Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Sanaa, vituo vya umeme, na kiwanda cha saruji.

Uharibifu uliosababishwa na shambulio la Israeli kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Sanaa nchini Yemen unafikia dola nusu bilioni, kulingana na ripoti nchini Yemen.

View attachment 3327183​

Missile launched from Yemen at Israel fell outside Israel’s borders, Israeli media reports​

A missile which was launched from Yemen at Israel fell outside the country’s borders, Israeli media reported on Wednesday.

This come a day after Oman said it mediated a ceasefire deal between the US and the Houthis, with the Yemeni group said did not include Israel.

Houthi missile targeting Israel falls short over Saudi Arabia - report​

This follows President Donald Trump's Tuesday announcement that the US would stop bombing the Iran-aligned Houthis in Yemen, saying that the group had agreed to stop attacking US ships.​

The IDF identified a missile launched towards Israel from Yemen by Houthi terrorists that fell over Saudi Arabia without being intercepted on Wednesday, according to reports in Israeli media.

On Tuesday, Israel carried out airstrikes targeting Sanaa International Airport, electric power stations, and a cement factory.

The damages caused by the Israeli strike on Yemen's Sanaa International Airport amount to half a billion dollars, according to reports in Yemen.
Sipendi vita kabisa
 
Let proof me siwezi ku argue na stupid..

Wajinga wanajua Kiarabu ni Lugha asili hahaha almost kila kitu imeiba hata waarabu wenyewe maneno wengine tafsir wanauliza wenye lugha zao..
Proof ya nini!?.. Madina maana yake mji kiarabu, mtume hakupokelewa na wayahudi Madina
 
Madina ni kiarabu, maana yake mji,acha uongo uongo,saudia haipakani na israel,na mtume hakukaribishwa na wayahudi
Enh huyu wa Dini gani jamani au ndio wale mabendera wamefundishwa kusifia tu na kupamba soma soma ujue unachoabudu na ulichofundishwa ni cha ukweli... Medina ni same na Waarabu waloamua kujiita Wapalestina huku hawajui maana ya hilo jina maana yake.. Original name was Philistines yaani Wavamizi
Madina,madina na makkah ziliyni city States
Ok Madina maana yake ni Nchi- let me go with you and nikupe Historia Mji ulitwa Khaybar Ancient Jewish Country. Ukisikia Zionist na group ambalo linataka kurudisha Israel ya Zamani kiramani na kitawala wa Dini.. Maana wao wanaona wamevamiwa hadi sehemu zao za kuabudia Mungu wao. Immagine hadi Temple la Solomon Waislam wanadai ni pao... Haikubaliki

Waeza soma hii lugha au nikuwekee kwa Kiswahili? alafu usiwe sana na kaubishi ka kiislam tunataka mbadilike mana mmeishi ujingani miaka mingi. ukitaka Hadithi pia naweza kukupatia Mtume wenu kuna time pia alikimbilia Ethiopia kwa Wakristo wa kule kupata Hifadhi maana vita zote alikuwa anazianzisha yeye. he was not a good person even Allah amemtumia for his benefits tu kama kina Mwamposa.

The Battle of Khaybar (Arabic: غَزْوَة خَيْبَر) was an armed confrontation between the early Muslims and the Jewish community of Khaybar in 628 CE. Khaybar, which is located approximately 150 kilometres (93 mi) to the northwest of Medina, was home to a sizable community of Jewish tribes.[4][5]

As Muhammad's army began to march on Khaybar, the Banu Ghatafan and other Jewish-allied Arabian tribes did not, or could not, send the reinforcements that had been expected to arrive to defend the settlement, further endangering the Jewish army's poor fortifications. After a brief period of fighting, Khaybar fell to the Muslims and the Jewish commander Marhab ibn al-Harith was killed, reportedly by Ali ibn Abi Talib.

The terms of surrender presented to the oasis after the Muslim conquest stipulated the seizure of the Jews' wealth and also called for every non-muslim to pay tribute (jizya) to the Muslims in exchange for universal conflict neutrality with protection or emigrate from Khaybar, bolstering the Muslim army in a significant development for Muhammad's military career. In exchange for their acceptance of the terms, the Muslims agreed to cease their campaign against Banu Qurayza and other local tribes.[6] Despite forces consisting of 10–20,000 Jews vs 1,400 Muslims, deaths were remarkably low at 93 Jews and 18 Muslims, with 50 injured between parties. [7][8]

Since the late 20th century, Muhammad's conquest of Khaybar's Jewish community has become notable as the subject of an Arabic-language rallying slogan ("Khaybar, Khaybar, ya Yahud!"), in the context of the Arab–Israeli conflict.[9][10][11][12]

Muhammad's casus belli​

After the death of Huyayy Chief of the Jewish tribe Banu Nadir, Abu al-Rafi ibn Abi al-Huqayq took charge of the Banu Nadir at Khaybar. Al-Huqayq soon approached neighboring tribes to raise an army against Muhammad.[13][14]

The Arabic Jewish tribe of Banu Qurayza (along with the other 4 tribes of Medina) provided refuge to the first Muslims and Mohammad and signed a mutual peace and defence treaty which paved the rise of Islam in the Hejaz. Muhammad discovered that Banu Qurayza violated the Medina Constitution peace treaty in conspiring to "put down [kill] all Muslims: man, woman, and child" with Banu Nadir, according to the witness recounts.[15][16]

After the defeat of the confederates in the battle, and Qurayza's subsequent surrender, Huyayy – Chief of Banu Nadir – (who was at that time in the Qurayza strongholds of Medina) was killed alongside the men of the Qurayza. After Huyayy's death, Abu al-Rafi ibn Abi al-Huqayq took charge of the Banu Nadir at Khaybar. Al-Huqayq soon approached neighboring tribes to raise an army against Muhammad.[13][14] After learning this, the Muslims, aided by an Arab with a Jewish dialect, assassinated him.[17]

The siege failed where the attacking forces where defeated and forced to retreat due to a violent storm [7][18] and Medina's attention was turned towards the betrayal of their neighbours, Banu Qurayza. Qurayza appointed Sa‘d bin Mu‘adh to adjudicate, who passed a verdict based on Jewish tradition that ordered the massacre of 600 military aged men and the eviction of the remain approx 1,500 citizens.[15] Qurayza departed towards Banu Nadir in Khaybar, a historical proud Jewish city. After arriving in Khaybar, they sought alliances with a number of non-Muslim Arabian tribes to continue the campaign against Muslims.[19]

Islamic sources accuse the Jews of Khaybar of having plotted to unite with other Jewish tribes from Banu Wadi Qurra, Tayma and Fadak as well as with the Ghatafan (an Arab tribe) to mount an attack on Medina.[20] Scottish historian William M. Watt notes the presence in Khaybar of the Banu Nadir, who were working with neighboring Arab tribes to protect themselves from Medina's Muslim community, who had earlier attacked and exiled Jewish tribes for violating the Charter of Medina.[21][22][23]

The battle ended with the surrender of the Khaybar Jews, who were then allowed to continue living in the region on the condition that they would give one-half of their produce to the Muslims. The Jews of Khaybar continued to live on the oasis for several more years, until they were expelled by the second Rashidun Caliph, Umar.[24] The imposition of tribute by the Muslims onto the Jews served as a precedent for provisions in Islamic law, which requires the regular exaction of tribute—known as jizya—from dhimmi non-Muslim subjects living in areas under Muslim rule, as well as the confiscation of land belonging to non-Muslims to merge into the collective property of the Muslim community (Ummah).[25][26][27]
 
Back
Top Bottom