Houthi watangaza kushambulia uwanja wa ndege ben gurion israel na meli vita ya marekani

gallow bird

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2024
Posts
14,889
Reaction score
18,593
Usiku wa kuamkia leo,2:30, houthi walifyatua makombora ya balistiki na cruise kuelekea israel na kudai kupiga shabaha, kiongozi wao saree alitoa taarifa hiyo

Upande mwingine israel imedai kutungua makombora hayo nje ya anga la israel,lakini vyombo vya ndani vinasema kombora lilitunguliwa ndani ya anga la israel na vipande kusambaa miji ya israel

Wakati houthi wanasema wakiishambulia meli vita ya marekani uss truman pamoja na meli zingine kwa makombora na ndege nyuki,wakifanikiwa kuzuwia shambulizi la anga liliopangwa na marekani kufanyika usiku huo
 
Waisrael wanasutana,jeshi linataka kuji-mwanafai kwamba limetungua nje ya anga wakati chuma kilishaingia ndani
 
Usiku wa kuamkia leo,2:30, houthi walifyatua makombora ya balistiki na cruise kuelekea israel na kudai kupiga shabaha, kiongozi wao saree alitoa taarifa hiyo
Upande mwingine israel imedai kutungua makombora hayo nje ya anga la israel,lakini vyombo vya ndani vinasema kombora lilitunguliwa ndani ya anga la israel na vipande kusambaa miji ya israel
Wakati houthi wanasema wakiishambulia meli vita ya marekani uss truman pamoja na meli zingine kwa makombora na ndege nyuki,wakifanikiwa kuzuwia shambulizi la anga liliopangwa na marekani kufanyika usiku huo

Uongozi mzima wa Israel hawaelewani na hakuna kuaminiana.Kisa shambulio la oktoba 7.
Waziri wa ulinzi alijiuzulu
Kiongozi mkuu wa upinzani naye akajitoa kwenye kamati ya kuongoza vita
Mkuu wa majeshi ameondolewa
Mkuu wa Shinbet naye ugomvi baina ya wapenzi wake na Netanyahu anayetaka kumfukuza kazi unaendelea
Yote hayo ni dalili ya kudorora kwa afya ya taifa dhalimu.
 
Israel waongo awatungua zile Balistiki lkn kama kawaida yao wanajamba jamba na Media zao !!!!

ngoma nzito ndiomana uko YEMEN marekani inajitaid kuepusha maafa ya raia wanajua YEMEN moja kwa mojo inauwezo kuyapeleka makombora walipo raia!!!!!
 
Kwahiyo Kila wanachokisema Houth tukiamini bila ushahidi?
 
Waache kujificha kwa raia wanachelewa kuwahi bikira
 
Haya mambo ya vita hayana afya yoyote ile kwa ustawi wa mwanadamu.
Wamagharibi ni watu wa vurugu na uporaji,bila hivyo yaani wakitenda haki,mfano wailipe DRC stahiki ya rasilimali zake wanazonyonya,baada ya muda mfupi,wao ndiyo watakua wakivuka bahari kwenda nchi zingine
 
Kama kutunguliwa tu unadanganywa,madhara utaambiwa?
Ukiona mtu ana jihami kama hivi kujibwa swali rahisi kabisa kama hili na alionesha kujua kitu then JUA tu kwamba, alifanganya, ali comment kwa chuki zake upande fulani na mahaba yake kwa upande mwingine
 
Vichwa maji huwa mna shida ya kuelewa mkiwa na mahaba yenu,soma hiyo ripoti yote

Kwahiyo Kila wanachokisema Houth tukiamini bila ushahidi?
Jomba kwani ww ujuu uko Israel wamepitisha sheria ya kuzuiya habari vita amin tu Yemen sio mala ya kwanza kubutua uko uwezo wa kuzuiya shambulizi kutoka Yemen ni mdogo sana kwa Israel
 
Kwahiyo kupiga mpigie nyinyi sisi ndio tutangazie ulimwengu hiyo ni akili au matope? Kwann nyie mliopiga msionyeshe hicho mlichokilenga?

Kwanza subir hicho kiporo cha daku ulichotia sasa hivi kiishe tumboni ndio uje tujadiliane sasa hivi tutasumbuana tu.
 
Israel waongo awatungua zile Balistiki lkn kama kawaida yao wanajamba jamba na Media zao !!!!

ngoma nzito ndiomana uko YEMEN marekani inajitaid kuepusha maafa ya raia wanajua YEMEN moja kwa mojo inauwezo kuyapeleka makombora walipo raia!!!!!

Umeandika ujinga. Serikali ya Israel haiwezi kuficha vifo au uharibifu wa makombora. Unadhani Israel ni Tanzania?

Israel hata raia ana uwezo kumshtaki Rais. Kiongozi akitoa taarifa ya uwongo, mara moja hana uongozi. Ataondolewa.

Kifo cha mtu au nyumba ya mtu ikiteketezwa na watu wakajeruhiwa, haiwezi kuwa siri.

Wakisema hakuna aliyekufa, ujue ndiyo ukweli wenyewe. Ndiyo maana hata askari akiuawa ni lazima watoe taarifa kwa umma. Tangu hii operation yao ya pili, wametoa taarifa kuwa kuna afisa wao wa jeshi mmoja ndiye alijeruhiwa vibaya sana na Hamas, tena wameitoa taarifa hiyo wakati hamas wakiwa hawajadai kuwashambulia askari wa Israel.
 
Back
Top Bottom