Houthi watangaza kushambulia uwanja wa ndege ben gurion israel na meli vita ya marekani

Houthi watangaza kushambulia uwanja wa ndege ben gurion israel na meli vita ya marekani

Hawa washenzi wa Israel inabidi watandikwe kisawasawa
 
US kapeleka madubwana ya B-2 zaidi ya 5 kwenye kisiwa cha Diego Garcia.

Tutarajie show ya kibabe hapo middle East ndani ya siku chache zijazo mbele.
 
Wavaa vipedo wantuaminisha kuwa hawa magaidi wa Yemen kila wakisemacho ni kweli na sahihi!
 
Back
Top Bottom