gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Uongozi mzima wa Israel hawaelewani na hakuna kuaminiana.Kisa shambulio la oktoba 7.Usiku wa kuamkia leo,2:30, houthi walifyatua makombora ya balistiki na cruise kuelekea israel na kudai kupiga shabaha, kiongozi wao saree alitoa taarifa hiyo
Upande mwingine israel imedai kutungua makombora hayo nje ya anga la israel,lakini vyombo vya ndani vinasema kombora lilitunguliwa ndani ya anga la israel na vipande kusambaa miji ya israel
Wakati houthi wanasema wakiishambulia meli vita ya marekani uss truman pamoja na meli zingine kwa makombora na ndege nyuki,wakifanikiwa kuzuwia shambulizi la anga liliopangwa na marekani kufanyika usiku huo
Yemen Houthi Group claims attacks on Israel’s Ben Gurion Airport and US warships in the Red Sea
On Tuesday morning, March 25, Yemen's Houthi group claimed responsibility for missile and drone attacks targeting Ben Gurion Airport in Israel and US warships in the Red Sea. Houthi military spokesman Yahya Sarea said the attack successfully hit the airport with two missiles, including a...m.economictimes.com
Bila kujali mahali lilipo tunguliwa, madhara kwa Waisrael yakoje?Waisrael wanasutana,jeshi linataka kuji-mwanafai kwamba limetungua nje ya anga wakati chuma kilishaingia ndani
Waache kujificha kwa raia wanachelewa kuwahi bikiraIsrael waongo awatungua zile Balistiki lkn kama kawaida yao wanajamba jamba na Media zao !!!!
ngoma nzito ndiomana uko YEMEN marekani inajitaid kuepusha maafa ya raia wanajua YEMEN moja kwa mojo inauwezo kuyapeleka makombora walipo raia!!!!!
Kuna ripoti toka vyombo vya ndani vya israelKwahiyo Kila wanachokisema Houth tukiamini bila ushahidi?
Wamagharibi ni watu wa vurugu na uporaji,bila hivyo yaani wakitenda haki,mfano wailipe DRC stahiki ya rasilimali zake wanazonyonya,baada ya muda mfupi,wao ndiyo watakua wakivuka bahari kwenda nchi zingineHaya mambo ya vita hayana afya yoyote ile kwa ustawi wa mwanadamu.
Kama kutunguliwa tu unadanganywa,madhara utaambiwa?Bila kujali mahali lilipo tunguliwa, madhara kwa Waisrael yakoje?
Ukiona mtu ana jihami kama hivi kujibwa swali rahisi kabisa kama hili na alionesha kujua kitu then JUA tu kwamba, alifanganya, ali comment kwa chuki zake upande fulani na mahaba yake kwa upande mwingineKama kutunguliwa tu unadanganywa,madhara utaambiwa?
Vichwa maji huwa mna shida ya kuelewa mkiwa na mahaba yenu,soma hiyo ripoti yoteUkiona mtu ana jihami kama hivi kujibwa swali rahisi kabisa kama hili na alionesha kujua kitu then JUA tu kwamba, alifanganya, ali comment kwa chuki zake upande fulani na mahaba yake kwa upande mwingine
Jomba kwani ww ujuu uko Israel wamepitisha sheria ya kuzuiya habari vita amin tu Yemen sio mala ya kwanza kubutua uko uwezo wa kuzuiya shambulizi kutoka Yemen ni mdogo sana kwa IsraelKwahiyo Kila wanachokisema Houth tukiamini bila ushahidi?
Kwahiyo kupiga mpigie nyinyi sisi ndio tutangazie ulimwengu hiyo ni akili au matope? Kwann nyie mliopiga msionyeshe hicho mlichokilenga?Jomba kwani ww ujuu uko Israel wamepitisha sheria ya kuzuiya habari vita amin tu Yemen sio mala ya kwanza kubutua uko uwezo wa kuzuiya shambulizi kutoka Yemen ni mdogo sana kwa Israel
Iweke hapaKuna ripoti toka vyombo vya ndani vya israel
Israel waongo awatungua zile Balistiki lkn kama kawaida yao wanajamba jamba na Media zao !!!!
ngoma nzito ndiomana uko YEMEN marekani inajitaid kuepusha maafa ya raia wanajua YEMEN moja kwa mojo inauwezo kuyapeleka makombora walipo raia!!!!!