Houthis wa Yemen kuanza mashambulizi dhidi ya Israel wakati wowote kuanzia sasa

Houthis wa Yemen kuanza mashambulizi dhidi ya Israel wakati wowote kuanzia sasa

Sir John Roberts

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
12,835
Reaction score
23,584
Itakumbukwa kuwa Houthis walisimamisha kuishambulia Israel baada ya makubaliano ya kusitisha vita ili kubadilishana mateka wa kivita.

Israel amekiuka makubaliano ya round ya kwanza na Hamas . Israel wamezuia misaada misaada yote ya I binadamu kuingia Gaza, wanavamia makaazi ya wapalestina west bank na kuwakamata.

Houthis wa Yemen wametangaza kuanza upya mashambulizi dhidi ya Israel. Tuanze kusubiri meli zikianza kupigwa missiles kutokea redsea .
Screenshot_20250307-215031_1.jpg
 
Habari kwa kina jamaa wametoa siku 4 tu. Kuanzia tarehe 11 meli zinazoelekea Israel zitaanza kushambuliwa .
Screenshot_20250307-224540.png
 
Hawa jamaa hawana huruma kabisa na watu wa Yemen
Umeona mbali sana. Kipindi cha Biden alikuwa anajizuia kidogo kuweka kambi baharini pale, sasahivi Trump anawaungamkono Israel 100%. Endapo wakitekeleza wanachosema, Yemen itageuzwa Gaza. Yote kwa yote vita iishe
 
Back
Top Bottom