Houthis wa Yemen kuanza mashambulizi dhidi ya Israel wakati wowote kuanzia sasa

Houthis wa Yemen kuanza mashambulizi dhidi ya Israel wakati wowote kuanzia sasa

Itakumbukwa kuwa Houthis walisimamisha kuishambulia Israel baada ya makubaliano ya kusitisha vita ili kubadilishana mateka wa kivita.

Israel amekiuka makubaliano ya round ya kwanza na Hamas . Israel wamezuia misaada misaada yote ya I binadamu kuingia Gaza, wanavamia makaazi ya wapalestina west bank na kuwakamata.

Houthis wa Yemen wametangaza kuanza upya mashambulizi dhidi ya Israel. Tuanze kusubiri meli zikianza kupigwa missiles kutokea redsea .View attachment 3262939
Waambie waende wakawakomboe Washia wenzao wa Alawite huko Syria wanaouawa na HTS

View: https://x.com/SprinterObserve/status/1898141359065747504
 
Umeona mbali sana. Kipindi cha Biden alikuwa anajizuia kidogo kuweka kambi baharini pale, sasahivi Trump anawaungamkono Israel 100%. Endapo wakitekeleza wanachosema, Yemen itageuzwa Gaza. Yote kwa yote vita iishe
TRAMP nani Mbele ya makombora yanayotembea kwa dkk 9 km 2000+ WaIsrael awana chaguo zaid kukimbilia kwenye Mashimo !!!!!!

dkk9 ata uyo Tramp awezi kuzuiya ayo Makomboro !!!!

uko Israel hofu imeanza Upya na Zaid inaonekana lengo kuu kubutua Madepo ya Silaha zilizotoka marekani kabla azijaanza kutumika.. !!!!

wengine Tulisema apa kuwa mpango wa Tramp utazuiwa mapema kabla aujaanza !!!!

sasa Dunia imechangamka kwasasa kwanzia date 11 Israel inaanza kupigwa!!!!!

Bado kifurushi cha Promiss no 3 Tramp atavimba hatari!!!!!
 
Hawa jamaa hawana huruma kabisa na watu wa Yemen
Hawana tofauti na Mwanamke aliyeko kwenye siku zake za hatari, muda wote anajisikia hamu ya kupelekewa moto na ukishamtindua hamu zinaisha anasubiri mwez unaofuata na cycle inaendelea
 
Itakumbukwa kuwa Houthis walisimamisha kuishambulia Israel baada ya makubaliano ya kusitisha vita ili kubadilishana mateka wa kivita.

Israel amekiuka makubaliano ya round ya kwanza na Hamas . Israel wamezuia misaada misaada yote ya I binadamu kuingia Gaza, wanavamia makaazi ya wapalestina west bank na kuwakamata.

Houthis wa Yemen wametangaza kuanza upya mashambulizi dhidi ya Israel. Tuanze kusubiri meli zikianza kupigwa missiles kutokea redsea .View attachment 3262939
Rest in Hell Houthis
 
Umeona mbali sana. Kipindi cha Biden alikuwa anajizuia kidogo kuweka kambi baharini pale, sasahivi Trump anawaungamkono Israel 100%. Endapo wakitekeleza wanachosema, Yemen itageuzwa Gaza. Yote kwa yote vita iishe
Trump hataweza maana Yemen Wana vifaa na siyo kwamba Biden alikuwa na huruma hapa ni kwamba meli zake za kivita zilikula chuma sana mpaka zikakimbia redsea pamoja na meli za ulaya.
 
Kuna wale wa Lebanoni nao waliwapambania sana hata siwasikii. Hata jina nimelisahau maana waliimbwa sana.
Wanaitwa Hezbollah baada ya kutoa mkong'oto wa maana kwa Israel walifikia makubaliano ya kusimamisha vita ila kama Israel ataanza chokochoko wataanzisha Tena mashambulizi uzuri Israel mwenyewe anaujua moto wake. Walihamisha north Israel yote ile kulikua hakuna hata mbwa aliyebaki.
 
Waisrael wakikusikia hawatakuelewa kabisa maana wanaujua mziki wa Yemen Huwa wanaamshwa saa 10 alfajiri Kila siku na makombora ya houthis.
Israel kwa sasa kamalizana na Hamas na Hezbollah. Hawa Houths ni kama wana hamu ya kipigo. Kujificha kwenye mawe kama kenge hakutawakinga na kipigo cha Israel.
 
Israel kwa sasa kamalizana na Hamas naa Hezbollah. Hawa Houths ni kama wana hamu ya kipigo. Kujificha kwenye mawe kama kenge hakutawakinga na kipigo cha Israel.
Israel Bado hajamalizana na Hamas wala Hezbollah kwasababu ana violate agreement kitendo kitakachosababisha vita kuanza upya. Kwa upande wa houthis amesaidiwa na marekani na uingereza na ufaransa lakini ameshindwa kwa mwaka 1 zimepigwa zaidi ya meli 100 na Israel imepigwa makombora mara kibao. Yemen kaamua Kufunga njia ya kwenda Israel redsea unaona jambo dogo hilo?
 
Back
Top Bottom