Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Waisrael wakikusikia hawatakuelewa kabisa maana wanaujua mziki wa Yemen Huwa wanaamshwa saa 10 alfajiri Kila siku na makombora ya houthis.Hawa jamaa hawana huruma kabisa na watu wa Yemen
Sawa ndugu yanguWaisrael wakikusikia hawatakuelewa kabisa maana wanaujua mziki wa Yemen Huwa wanaamshwa saa 10 alfajiri Kila siku na makombora ya houthis.
Hata Mimi naomba amani ipatikaneSawa ndugu yangu
Mimi naombea Aman tu
Amani? Kwa maandiko yapi?Hata Mimi naomba amani ipatikane
Amani haipatikani kwa maandikoAmani? Kwa maandiko yapi?
Katika watu ambao wameonesha uwezo mkubwa wa kuwapambania wapalestina ni Yemen.Wapalestina wa mwigumbi walishindwa sembuse hao wahuni wa baharini 😏😏
Hahaha. Hawapendi wapalestina wanyanyasike katika ardhi Yao.Hao mende wakishiba futari wanaanza kuwashwa tena.
Hahaha. Hawapendi wapalestina wanyanyasike katika ardhi Yao.Hao mende wakishiba futari wanaanza kuwashwa tena.
Maandiko yenu hayana neno Amani?Amani haipatikani kwa maandiko
Wewe unajua maandiko yangu ni yapi?Maandiko yenu hayana neno Amani?
Umeona mbali sana. Kipindi cha Biden alikuwa anajizuia kidogo kuweka kambi baharini pale, sasahivi Trump anawaungamkono Israel 100%. Endapo wakitekeleza wanachosema, Yemen itageuzwa Gaza. Yote kwa yote vita iisheHawa jamaa hawana huruma kabisa na watu wa Yemen
Maandiko yako; yenu?Wewe unajua maandiko yangu ni yapi?