How are you feeling? Unajisikiaje? 😐 - karibu tuzogoe!

Binti wa zamani

Platinum Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
15,052
Reaction score
36,866
  1. Wiki hii imekua ngumu, uko sawa? mambo yanayoendelea Tanzania yanakufanya ujisikiaje?

  2. Unafanya vitu gani kuhakikisha afya yako ya akili haitetereki?

  3. Tupe suggestion ya movie mpya au series zitusaidie kusukuma weekend.

  4. Weka picha inayoreflect mwezi April na mwaka 2026 so far na isindikize na maneno ya wahenga

  5. Kuna habari yoyote ambayo imekushtua, kukushangaza, kukusikitisha au kukufundisha?

    Mbali na ripoti ya tume, binafsi kuna habari nimeisoma CNN imenifanya nijisikie vibaya kuhusu wanaume wanaofundishana online jinsi ya kuwaingilia wake zao wakiwa usingizini. Ni kweli hampewi tendo la ndoa mpaka mnawalevya wake zenu? au ni tabia za ubakaji ambazo baadhi ya wanaume wanazo? umeshawahi kusikia mkasa kama huu kwa Tanzania?

 
1. Wiki hii imekua ngumu, uko sawa? mambo yanayoendelea Tanzania yanakufanya ujisikiaje?
Siko sawa ☹️ siasa ya bongo imenivuruga
2. Unafanya vitu gani kuhakikisha afya yako ya akili haiterereki?
Kuongea na familia, kuwa bize na kazi, kufanya mazoezi, kula sana, kuingia JF na kucheka na watu
3. Tupe suggestion ya movie mpya au series zitusaidie kusukuma weekend.
180 - movie (Netflix - Genre: crime/thriller)
 
I feel so good,kuna mwenyekiti wa kijiji chetu tumemfurusha baada ya kubainika na tuhuma za wizi,so nimemchinja jogoo hapa namkula pamoja na mama kijacho wangu Mallerina huku nikijiandaa kusimikwa uenyekiti mpya, raha iliyoje mwanawane?
 
Nje ya mada na tamani sana nije nionane nawewe siku moja binti wa zaman
 
Watanzania tumebaki kusikitika chini kwa chini tumekuwa wanyonge furaha hatuna kabsa tunawaza hatima yetu na Rais aliopo inatia simanzi sana kwa kweli
Niko poa,Hakika nina amani sana,katika hili namshukuru Mungu.
Japokuwa kuna muda nikikumbuka tu waliozikwa hai Mo29 + report ya chande.Nakosa mzuka kabisa🙌🏾
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…