Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
-
- #341
Kwisha mimi πUmekuja kwa kuchelewa sana, wengi wamewahiwa π π€
Ndiyo wamewahiwa π same kwa vibabu!Kwisha mimi π
Ila nimecheka mnoooπ
Et wengi wamewahiwa jamani lol
Fungu la kukosa mieπNdiyo wamewahiwa π same kwa vibabu!
Labda anaona huridhiriki na yeye hana uwezo wa kukuridhisha so ni bora akuachilie tu usaidike.Kabisa sijui iko vipi kitalaam
Ila anaonekana kaishikia kwa wivu mkubwa
Ila ako anaact kama hakuna mbaya, ila inawezekana ako na Usnitch na witch huyu mudada hii haiko normal. βΌοΈ
Haha.. YeahSi mpenzi wa love story ila hii naipenda, it's a classic na ni super sad too!
Mimi I feel good. Week ilikuwa amazing namshukuru
Ulifanya vyema, sisi tuliosikiliza tuko disappointed tu, hakuna kingine.Mungu. Ripoti ya Chande sikutaka kuisikiliza na sikuwa na matarajio nayo kabisa.
MUNGU niongezee busara
Poleni, kumbatia mama Abel mtulie ndani!Mvua inatuzingua tu
Hakuna watu hapo, naona wanakuogopa π€πMi nilijua naongea na watu kumbe viazi tuπ«
Usijikatie tamaa, wapo humu wanaotafuta mailavu wao, watakufikia tu!Fungu la kukosa mieπ
Busara tayari unazo, omba vingine!Kwamba?
Ila wewe jamani hapana I wish nikuone live upo wap dada πUsijikatie tamaa, wapo humu wanaotafuta mailavu wao, watakufikia tu!
Mnawachekea sana! nawasubiri kwa wivu mkubwa!πUHakuna watu hapo, naona wanakuogopa π€π
List ya wanaotaka kuniona live ni ndefu sana, panga mstari huko nyuma nitakufikia 2028 πIla wewe jamani hapana I wish nikuone live upo wap dada π
Acha kumtia matumaini hewa binti, hakuna waoaji humuπUsijikatie tamaa, wapo humu wanaotafuta mailavu wao, watakufikia tu!
Nichomeke kwa kati kati bhanaπList ya wanaotaka kuniona live ni ndefu sana, panga mstari huko nyuma nitakufikia 2028 π
Ana ni ng'ong'a inamaana hata wa kumuonja spatiAcha mumtia moyo binti, hakuna waoaji humuπ